Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

point..... ila ujashauri Mkuu nini kifanyike au kilichofanywa ni sahihi?
 
Chama cha Mtu na Mkwewe, leta Fyoko wanaku-fyokoa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwenyekiti wa Kudumu hataki mchezo... Siasa bana.
 
Kiongozi; Na hii ndio siasa. Waumini; Tumshukuru Mungu.
 
Wafukuzwe tu uanahaihitajina kukiuka maamuzi mliokubaliana ni usaliti tosha haihitaji elimu kubwa kutambua usaliti kama huo
 
Wangetangaza kujiondoa kwenye uchaguzi mkuu kabisa ili waendelee kukaa karantini.
Mnataka Jiwe asiwe na mpinzani kugombea Urais kwa sababu hawezi kufanya kampeni afya yake mbaya? Simamisheni mgombea asiyekuwa na mgogoro na afya yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…