Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ubunifu wa mitindo ya mavazi miongoni mwa Wabunge kwenye vikao vya Bunge umechukua nafasi yake
Mitindo ya mavazi imeendelea kuchukua nafasi yake Bungeni, ambapo wabunge wamekuwa wakionesha ubunifu na upekee kupitia mavazi yao ya kisasa. Kuanzia suti kali hadi mavazi yenye mvuto, fashion imegeuka kuwa sehemu ya kujieleza na kuvutia machoni.