Nilikuwa najiuliza kwanini wabunge wameanza kuongea kishabiki kwenye bunge hili? Jibu kumbe ni mikutano ya hadhara. Wemekuwa waki lalama kama vile wenyewe ni wapinzani na kupuuza ukweli wa mambo. Kizuri Bashe amekuwa anajua data kuliko wenyewe. Mikutano kuruhusiwa tu sasa tumeshaanza kuona matokeo
Serikali na CCM wamejiandaa kupoteza wabunge wote ambao walikuja kwa kununuliwa isipokuwa waziri Mollel pekee. Wengine wote hata uwaziri, ukatibu wameshatolewa. Hili ni kwasababu CCM wanajiandaa na kuonyesha hawataweka nguvu kwenye haya majimbo na naona wameshajua hao wabunge!.