Wabunge wapigana

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kwa kupitia chama cha mapinduzi Ndugu Elibariki Emmanuel Kingu Leo amepigana na mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika jimbo la Mfenesini Ndugu Othman Said Machano Cairo Misri.

Fedhehea hiyo ya nchi imetokea katika hoteli ya Radisson mjini Cairo, Baada ya Mbunge Kingu kumtolea Maneno ya Kashfa Mhe Machano wakati wa kikao cha wabunge walioenda kuiwakilisha nchi yetu Katika kombe la AFCON 2019 ambayo yanafanyika Misri.

Baada Bw Kingu kumtolea maneno haitoshi alisimama na kumkata mtama, Ndipo Mbunge wa viti maalum wa Chadema akiwakilisha Zanzibar Mhe Mariam Msabaha kusimama na kuamulia nae akapigwa Ngumi ya uso kutoka kwa Bw Kingu.

Ndipo askari polisi kutoka Misri alipoamua kuingilia kati na kumtuliza bw kingu, Akiongea mmoja wa wahudumu wa Hoteli huyo alisema "Watanzania Ambao tuliokuwa tunawasikia wanapendana ndio hawa kwa hapa wameonyesha kutokuwa wastaarabu kabisa na wamesababisha kuwapigia kelele wateja wetu.

Kitendo hiki kimetokea Leo Mchana hii ni Aibu sisi kama taifa kingu ametuaibisha sana, ametutia aibu na kuitia Nuksi timu yetu ya Taifa.
C&P
 
Midanganyika Wasenge tu siku zote.Wanaenda kupigania supu ya Pweza huko Masri??
 
Kama ni kweli, AIBU KWA TAIFA
 
Kama ni kweli, AIBU KWA TAIFA
Kweni taifa lote limepigana?watu wachache wasio na hekima ndo uainishe kua waTanzania wote wako kama hao eti aibu kwa taifa!!! Mi sijaaibika bwana,wameaibika wake/waume zao kwa kumiliki wanandoa wasiyo na hekima
 
Isije kuwa wanampigania yule mlimbwende mwenye hips lake maana nae si yupo nchi ya mapiramidi
 
Midanganyika Wasenge tu siku zote.Wanaenda kupigania supu ya Pweza huko Masri??
Nyie dada zenu wanaliwa 713 tu
Vp yule c.kmbk bdo yuko na mtaliano
Jamaa anafaidi ule mkn- d

Ova
 
Kweni taifa lote limepigana?watu wachache wasio na hekima ndo uainishe kua waTanzania wote wako kama hao eti aibu kwa taifa!!! Mi sijaaibika bwana,wameaibika wake/waume zao kwa kumiliki wanandoa wasiyo na hekima
Mbna ishu ya mbunge wa starehe (jaguar)hukuyasema hayo...

Mnafiki katika ubora wake
 
Kweni taifa lote limepigana?watu wachache wasio na hekima ndo uainishe kua waTanzania wote wako kama hao eti aibu kwa taifa!!! Mi sijaaibika bwana,wameaibika wake/waume zao kwa kumiliki wanandoa wasiyo na hekima
Sawa, ukumbuke huko hawajapelekwa na wanandoa wao, WAMEPELEKWA NA BUNGE....
Ili iitwe aibu ya taifa, si mpaka taifa lipigane, hiyo ni vita.... Ukitumwa na nchi, Kwa shughuri za kitaifa, ujuwe ujuwe baya lolote utakalolifanya litagusa nchi...

Wewe kuona aibu au la inategemea na namna unavyotazama mambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…