Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi.
Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi kuingia bungeni akiwa amelewa chakali. Pia hatujasahau ajali ya gari iliyojeruhi mkono wa mbunge Ndugange na kupoteza maisha ya mwanafumzi wa kike wa UDOM, waliyoipata wakati wanamkimbia mke (wa Ndugange) ambaye aliwafumania.
Ili wabunge wajikite kwenye majukumu yao ya kibunge ni vema wasipewe posho, badala yake wapikiwe chakula na walipiwe mahala pa kulala, ama walazwe kwenye mabweni ya UDOM.