MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
Habari kuhusu ndege ya Airbus is factually incorrect. Ndege ya Airbus 320 inakodishwa toka Wallis Trading Corporation na ndege iliyopata ajali Mwanza ya aina ya B737-200 ni ya Celtic Corporation. Hizi ni kampuni mbili tofauti hivyo malipo ya Wallis au Celtic hayawezi kuchangwanywa. Pili ile ajali ya B737-200 kule Mwanza analipwa Celtic Corp na Insurance sio ATCL. Mbona waziri wa Miuondombinu asemi nani alilazimisha ATCL ikodishe A320?
Yaliyosikika yanaweza kuwa ni kweli yalisemwa. Huyo ni Mustafa Nyang'anyi. Wapi alikowahi kufanya kazi nzuri. Tangu uwaziri hadi ubalozi theme yake ni 'wizi'.
Mbaya zaidi Ni katika Wizara hiyo hiyo alikowahi kusababisha vifo vya watu Kigamboni ferry! ATC yaweza kuwa inalipa mifuko ya watu inayoitwa Airbus.