Wabunge wasio na huruma waliamua tuwalipie kodi wenye nyumba

Wabunge wasio na huruma waliamua tuwalipie kodi wenye nyumba

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwamba kwa nyumba za kawaida tutakatwa buku kila mwezi.

Waliopanga kwenye magorofa buku tano.

Hivi hawa wabunge ni wawakilishi wa wa wananchi?

Hakuna jinsi wacha tuwalipie kodi wenye nyumba.
 
Kwamba kwa nyumba za kawaida tutakatwa buku kila mwezi.

Waliopanga kwenye magorofa buku tano.

Hivi hawa wabunge ni wawakilishi wa wa wananchi?

Hakuna jinsi wacha tuwalipie kodi wenye nyumba.
Waliokuwa waimba mapambio na wasiokuwa waimba mapambio sote kunaucheza mziki mmoja😂.Mungu ni mwema kila wakati.
 
nchi za watu wenye malalamiko huwa wanachukuaga hatua kwenye mambo kama haya....hakuna hata siku moja watanzania waliandamana kuelekea bungeni kushinikiza jambo fulani....bila vitendo hakuna mwanasiasa atakayeangalia maslahi kwa raia zaidi ya hizi sarakasi..
 
Back
Top Bottom