<br />Mie kama ingekuwa hiari yagu unafukuza wote unabakisha Magufuli peke yake na unaanza upya uchaguzi wa Rais na Wabunge wake maana hilo Bunge ni hasara tuu, Kwanza yanalalalala tuu hapo Bungeni.
<br />
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Mie kama ingekuwa hiari yagu unafukuza wote unabakisha Magufuli peke yake na unaanza upya uchaguzi wa Rais na Wabunge wake maana hilo Bunge ni hasara tuu, Kwanza yanalalalala tuu hapo Bungeni.
<br />wale akina christine lissu, mke wa slaa (rose kamili), watoto na wakwe wa ndesamburo na mademu zake akina mbowe ndo unawaona wamaana sana siyo.
kwa mawazo yang kusiwepo kabisa na wabunge hasa wa ccm kwa sababu kaz yao ni ndiyoooooo........... Hata hoja za msingi wao kupinga tuu