Wabunge wasomi endeleeni kuchutama. Msijibishane na wa darasa la saba

Wabunge wasomi endeleeni kuchutama. Msijibishane na wa darasa la saba

majeshi yetu hayana viwanja vya ndege vvya kutosha,ukiacha ngerengere vingine vyote wanatumia vya kiraia, mfano mwanza huohuo wa kiraia unatumika na jeshi pia,mtizame mbali zaidi ya kuchungia ngombe wapewe jeshi la wananchi.
Basi sawa uwanja wa Chato wapewe jeshi
 
Spika anakuwa na agenda zake za kuwasimanga watu lakini yeye hawezi kusema mwenyewe
 
"Do not argue with a fool. He will drag you down to his level and beat you with experience."

Kwa maneno menigine ni kuwa ukilumbana na mwendawazimu watu watashindwa kutofautisha mwenda wazimu na wewe
 
Kila mtu ana haki. Hakuna ushahidi wa mwenye digrii ndio anakuwa mwakilishi mzuri Bungeni.
Japo kwa sisi wasomi inakereketa lakini kuna ukweli.

Najaribu kuona Uwakilishi wa Kishimba, ni mbunge anaeongea na wapiga kura wake kama marafiki wa karibu sana. Ukiwakuta unaweza usijue nani ni Mbunge na nani ni Mpige kura.

Wananchi wanaona Mbunge ni wao na mali yao. Ukija kwetu huku Upareni kazi kweli, Wabunge wetu ku behave kama ni watumishi wenu nyinyi wapiga kura bado sana. Japo Wabunge wengine walikuwa wanatuhusu.
 
Back
Top Bottom