Basi sawa uwanja wa Chato wapewe jeshimajeshi yetu hayana viwanja vya ndege vvya kutosha,ukiacha ngerengere vingine vyote wanatumia vya kiraia, mfano mwanza huohuo wa kiraia unatumika na jeshi pia,mtizame mbali zaidi ya kuchungia ngombe wapewe jeshi la wananchi.
Kila mtu ana haki. Hakuna ushahidi wa mwenye digrii ndio anakuwa mwakilishi mzuri Bungeni.Wameingizwa na mwendazake hivyo wanapambania eti legacy...sijui ndicho wametumwa??
Kwa sababu gani? Hakuna walio soma CCM?as long as ccm iko madarakani kubadili vigezo vya elimu inakuwa ngumu
Japo kwa sisi wasomi inakereketa lakini kuna ukweli.Kila mtu ana haki. Hakuna ushahidi wa mwenye digrii ndio anakuwa mwakilishi mzuri Bungeni.