Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari.
Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi.
Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize mbona kwenye ansard za bunge wakati wa kupitisha hoi hoja hakukuwa na analysis kama hizi zilizopo mtaani?
Wabunge walisoma? Spika alielewa dhamana aliyonayo? Nani ameongwa kati ya bunge na viongozi wa dini? Kama viongozi wa dini wameongwa kwanini TAKUKURU awajamkamata mwongaji na mwongwaji? Hizi fedha ziliingizwaje kwenye akaunti za hawa viongozi wa dini? Nani huyo mwenye kuitaka bandari yetu anayeonga watu wengi tena asilimia kubwa ya wasomi wa nchi kupinga DP world?
Kwa upande wa pili, kama kweli wabunge waliongw pamoja na viongozi wa serikali kwanini zisichukuliwe hata fedha kwenye kodi zetu tukawalipa hongo yao DP World ili taifa libaki salama ? Tukiwa maskini wamoja ni jambo jema kuliko kuwa matajiri watumwa.