MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Nimesikitika kusikia Spika akilalamika kuna wabunge watoro wakiwamo hawa waliotoroka na kuishangilia timu ya taifa morocco hapo ni kwamba baada ya kusikia kuna ndege ya bure ndio wakatoroka .
Maana yake wanahujumu pesa za walipa kodi au nchi .
Hivi nchi kama china mtu anaweza kuchezea mhimili wa serikali namna hiyo.
Ni vema Spika akaweka majina ya watoro yaani top ten na top wahudhuliaji wazuri.
Watoro wapo katika makundi matatu.
1. Wanaoingia asubuhi anasaini halafu anatoroka anarudi jion kuchukua malipo hapa Spika alitumia msamiati eti ku verify ujinga mtupu
2. Mtoro anaomba mwenzake amsainie
3. mtoro hajulikani hayupo yaani hayupo popote na Spika hana taarifa.
4. Wale ambao wakiwa bungeni hawazungumzii majimbo yao ,wao ni story na kulala bungeni pia wao ni wahujumu wa pesa za walipa kodi