logania
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 464
- 313
Wasanii hao, mbunge John Mbadi naye alimalizia kwa kusema kwamba chakula hapo Canteen kinauzwa kwa bei ya juu sana, wakati ni kibovu kupindukia. Eti sahani moja Kshs 690! 😀😀😀 Bunge Live ni zaidi ya comedy! Mimi naomba huduma hizo ziendelee kuzorota kabisa. Ili wabunge nao wajue wananchi huwa wanahisi vipi, kila wanapolalama kuhusu jambo fulani, bila ya yeyote ule wa kusuluhisha wala sikio la kuwasikiza tu.