Wabunge wenye Hekima, waazimie kumfukuza Spika Tulia

Exposing corruption and shady dealings is something any member of parliament needs to get absolute immunity from.

Immunity from internal reprisals by disgruntled and psychophantic parliamentarians like Tulia Ackson.

And immunity from political persecution, dismissal and disciplinary actions by his political party.


When Zitto Kabwe fell out of the graces of his political party, Hon Samuel Sitta used his bully pulpit to protect and secure his position, first as a politician responsible to Tanzanians and his electorate, not Mbowe and Slaa.

Immature politicians like Tulia Ackson with no any ideological rooting are a nascent cancer that needs to be ruthlessly cut out.​
 
Wabunge wa Ccm wamtoe Supika aliyetokea kwenye Ccm yao ?? 🙄
Are you seriously 😳 ??
Never ever ! Not in this Country Mkuu !
 
Kuwa na Muhimili wenye maslahi na Serikali nayo ni kigugumizi kingine, hasa kwa nchi zetu za dunia ya tatu. Spika mumewe kateuliwa na Raisi, halafu tutegemee aisimamie vizuri Serikali?

Lazima kila kila kitu ataitetea Serikali, kumlinda mumewe asitenguliwe. Tanzania kuwa na muhimili unaofanya kazi kama wenyewe hakuna. Tusishangae haya yakitokea.
 
Wabunge wa kila chama huwa wanakuwa na msimamo wao juu ya kila jambo kabla ya kulitoa hadharani, yawezekana walikubaliana ndani issue ya Bashe iitwe White lakn Mpina akaitoa nje tena kwa kuiita Black as it is, kwahiyo siyo rahisi hekima wala busara kutumika hapo zaidi ya kuendelea kumlaumu Mpina pengine hata kumuadhibu.
 
Wewe ni fala tu, hujui kitu; hata kanuni za bunge huzijui. Huna faida yoyote.
Tulia yupo sahihi. Ndiye msemaji wa bunge. Ushahidi ukishawasilishwa kwa Spika si Mbunge tena bali ni wa bunge.
Kenge wewe.
 
Tanzania hakuna Bunge,bali kundi la wachache watumia Kodi za walalahoi hovyo.Spika Tulia ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Spika Tulia yuko sahihi

Kuumwaga ushahidi nyeti wa kiserikali hadharani ni kuhatarisha Usalama
Kivipi kunahatarisha usalama?Siri Gani hizo ambazo hatutakiwi wananchi kuzijua?au zile za kuuza Nchi Kwa waarabu?au ni zipo hizo?
 
Makuballiana na wewe kuwa ni muendelezo wa uchawa wa Ndugai ila Mpina alijiingiza kwenye 18 za Tulia alipokiuka kanuni ya bunge ya kusemea hoja aliyotakiwa kutoa ushahidi bungeni yeye akaitoa kwa waandishi was habari kwa kutafuta kick ya kijinga.
Angesubiri hoja zake zikatallwe atoke hadharani.
 
Watanzania wakibadilika kutoka kwenye ulofa na kuwa wenye hasira kali dhidi ya watawala wahuni, litakuwa jambo la heri kubwa, maana itakuwa ni ukamilifu wa ukombozi wa Taifa hili ambalo watawala wanafanya uovu wa kila aina dhidi ya wananchi.
 
Wewe ni fala tu, hujui kitu; hata kanuni za bunge huzijui. Huna faida yoyote.
Tulia yupo sahihi. Ndiye msemaji wa bunge. Ushahidi ukishawasilishwa kwa Spika si Mbunge tena bali ni wa bunge.
Kenge wewe.
Ukisoma comments za watu wote humu, bila shaka unaelewa wazi kuwa huyu Bigstone ndiye punguani wa pekee.

We ignore such mind crippled creatures
Wagonjwa wa akili kama huyu ni wa kuwapuuza.
 
Tunaongelea maslahi ya Taifa sio chama. Pia hoja ilikuwa ya Mpina kuwasilisha Ushahidi, akaona auweke wazi Kwa umma ili hata Tulia akiuficha apatikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…