Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Hayo unayoniuliza siyajui. Nilikua naweka mzani sawa kwenye jambo la billioni 600eeh sawa gentleman,
hata kama hiyo million mia6 ni pesa kidogo sana,
kweli hilo tukajifunze Kenya na kuwadhulimu wananchi wetu kwa utaratibu huo ndrugu zango? π
umemfanya vizuri sana kwakweli kwa faida ya wadau gentleman,Hayo unayoniuliza siyajui. Nilikua naweka mzani sawa kwenye jambo la billioni 600
Pale wanaume wanaposimama kwenye nafasi zao
Ni hilo tu kama itampendeza Spika Tulia basi awapeleke akina Babu Tale hapo Kenya wakapigwe msasa
Mlale Unono οΏ½
hizi digri ambazo mtu anazisoma zote tatu kwa miaka mitatu, huku pia akiwa na working experience ya miaka mitatu aise Kenya kuna maajabu sana ya elimu dahπUzuri wa Kenya hakuna mbunge darasa la saba, wote wamekula kitabu, wamechaguliwa kihalali bila rushwa.