Wabunge wetu waende Kenya wakajifunze namna ya kuchambua Mikataba, Adani apigwa chini na Seneti!

Wabunge wetu waende Kenya wakajifunze namna ya kuchambua Mikataba, Adani apigwa chini na Seneti!

eeh sawa gentleman,
hata kama hiyo million mia6 ni pesa kidogo sana,

kweli hilo tukajifunze Kenya na kuwadhulimu wananchi wetu kwa utaratibu huo ndrugu zango? 🐒
Hayo unayoniuliza siyajui. Nilikua naweka mzani sawa kwenye jambo la billioni 600
 
Hayo unayoniuliza siyajui. Nilikua naweka mzani sawa kwenye jambo la billioni 600
umemfanya vizuri sana kwakweli kwa faida ya wadau gentleman,

lakini hoja ya msingi ya kupeleka viongozi wetu husasan wabunge wakajifunze mambo ya kenya mathalani mikataba?

, hii inafaa kweli kama hali yenyewe ndiyo hiyo na sasa hivi kuna zogo na timbwili la moto sana la uuzwaji wa uwanja wa ndege?🐒
 
Mbunge hana hoja mbunge na yeye analalamika analeta hisia kuliko uhalisia mkataba mbunge ajasoma yeye naye shabiki mbunge kilaza spika kila utegemee nn
 
Uzuri wa Kenya hakuna mbunge darasa la saba, wote wamekula kitabu, wamechaguliwa kihalali bila rushwa.
hizi digri ambazo mtu anazisoma zote tatu kwa miaka mitatu, huku pia akiwa na working experience ya miaka mitatu aise Kenya kuna maajabu sana ya elimu dah🐒
 
Back
Top Bottom