Wabunge wetu waende Kenya wakajifunze namna ya kuchambua Mikataba, Adani apigwa chini na Seneti!

Kenya Wana bunge la ukweli Tanzania Kuna kusanyiko la wavuta bangi wanaojiita wabunge.
 
labda unazungumzia kenya ya nje ya East Africa,
Mikataba nilioitaja umeiskia au umeiona? na nani wa kumfunga paka kengele kati yao?

na uliskia masula ya yule governor wa machakos ana bilioni mia6 za Kenya huko uingereza?🐒

au ndio ile kukingia kifua na kutamani mambo ya hovyo hovyo ya mwenzio wewe unaona ndio sawa yafanyike kwako, useless kabisa 🤣
Hapa kuna Mawaziri wameiba zaidi ya hiyo pesa.
 
labda unazungumzia kenya ya nje ya East Africa,
Mikataba nilioitaja umeiskia au umeiona? na nani wa kumfunga paka kengele kati yao?

na uliskia masula ya yule governor wa machakos ana bilioni mia6 za Kenya huko uingereza?🐒

au ndio ile kukingia kifua na kutamani mambo ya hovyo hovyo ya mwenzio wewe unaona ndio sawa yafanyike kwako, useless kabisa 🤣
Bilioni 600 za Kenya ni Trillion 12. Hakuna ukweli kwenye hiki umesema
 
fuatilia vizuri tafadhali 🐒
Nifatilie au wewe unatakiwa kuweka source ya hiyo taarifa hapa?
Hata hivyo kuna taarifa ukisoma tu unajua hii ni chai. Imetoa chumvi nyingi. Labda ungesema bil 60 za Kenya, japo nazo ni ngumu
 
wakati kuna governor wa kenya yupo uingereza na billion mia6 za Kenya, tukajifunze Kenya kweli 🐒
Lakin kenya wanachukua hatua, hapa wametajwa mara nyingi sana na CAG, hatua hawachukuliwi na bado wako bungeni wanadunda
 
Umesoma alichoandika? Umekubali huyo gavana ana bilioni 600 za Kenya? kaka hilo ni jambo haliwezekani. Hiyo pesa ni sawa na trillion 12 za Tanzania. Haiwezekani hata kidogo
 
Nifatilie au wewe unatakiwa kuweka source ya hiyo taarifa hapa?
Hata hivyo kuna taarifa ukisoma tu unajua hii ni chai. Imetoa chumvi nyingi. Labda ungesema bil 60 za Kenya, japo nazo ni ngumu
sina haja ya kuweka source kwa vitu ambavyo navijua kwa uhakika na viko bayana ulimwenguni kidigitali,

unaweza kujiridhisha kwa kufuatilia chombo cha habari chochote kenye au ukagoogle tu masaibu ya Governor wa county ya Machakos Wavinya Ndeti kuzuiliwa na mamlaka za uingereza baada ya kukutwa na mamilioni ya fedha 🐒
 
Umesoma alichoandika? Umekubali huyo gavana ana bilioni 600 za Kenya? kaka hilo ni jambo haliwezekani. Hiyo pesa ni sawa na trillion 12 za Tanzania. Haiwezekani hata kidogo
kwahiyo wale waliokuaga wanagaiwa mamia ya mamilioni ya fedha ya mboga wakati wa escrow kwa kenye si ingekua tu pesa kidogo ya kahawa, unachoshangaa nini?

fuatilia vizuri kisa cha huyo governor wa machakos Kenya kuzuiliwa na mamlaka za serikali ya uingereza baada ya kukutikana na mamilioni ya fedha utaelewa vizuri sio kung'ang'ana tu, kwamba iyo pesa ni kidogo au nyingi, wakati huo wingi ndio ulofanya mamlaka zikashangaa, kulikoni na kuchukua hatua 🐒

sasa uwe na visenti vyako kidogo vya mboga nani atababaika na wewe?🤣
 
Lakin kenya wanachukua hatua, hapa wametajwa mara nyingi sana na CAG, hatua hawachukuliwi na bado wako bungeni wanadunda
hatua za kumkamata na kumuweka ndani IGP?🤣

ili wezi, majambazi na wahalifu wapore nchi sio na usalama wa nchi uwekwe rehani...
 
sina haja ya kuweka source kwa vitu ambavyo navijua kwa uhakika na viko bayana ulimwenguni kidigitali,

unaweza kujiridhisha kwa kufuatilia chombo cha habari chochote kenye au ukagoogle tu masaibu ya Governor wa county ya Machakos Wavinya Ndeti kuzuiliwa na mamlaka za uingereza baada ya kukutwa na mamilioni ya fedha 🐒
Ukikosea kubali, billion 600 za Kenya ni jambo haliwezekani. Kuliko hivi unabisha bora ungerudi na kurekebisha ulichosema.
Hiyo taarifa mimi naijua nilisoma na kufatlia. Haikua billion 600 , ilikua ni millioni 600 za Kenya. Ungeandika Million 600 nisingeshangaa. Au hujui utofauti wa billion 600 na million 600?
Soma hapo
👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20240917-105039_1.jpg
    Screenshot_20240917-105039_1.jpg
    327.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240917-104828_1.jpg
    Screenshot_20240917-104828_1.jpg
    96.9 KB · Views: 2
hatua za kumkamata na kumuweka ndani IGP?🤣

ili wezi, majambazi na wahalifu wapore nchi sio na usalama wa nchi uwekwe rehani...
haijalishia ana cheo gani, sheria ziko wazi, ukikutwa kwenye tuhumanuna kesi ya kujibu. Hao wanaotajwa kwneye report za CAG kwa ubadhirilifu wanafanya nini kwenye hizo nafasi?
Kwanza tz mnalea wezi?

Mbona watumishi wa umma wanashughulikuwa haraka? Au kwa vile si viongozi au si ccm?
 
kwahiyo wale waliokuaga wanagaiwa mamia ya mamilioni ya fedha ya mboga wakati wa escrow kwa kenye si ingekua tu pesa kidogo ya kahawa, unachoshangaa nini?

fuatilia vizuri kisa cha huyo governor wa machakos Kenya kuzuiliwa na mamlaka za serikali ya uingereza baada ya kukutikana na mamilioni ya fedha utaelewa vizuri sio kung'ang'ana tu, kwamba iyo pesa ni kidogo au nyingi, wakati huo wingi ndio ulofanya mamlaka zikashangaa, kulikoni na kuchukua hatua 🐒

sasa uwe na visenti vyako kidogo vya mboga nani atababaika na wewe?🤣
Uwingi wa pesa ndio sababu ya kudoubt taarifa. Hiyo wakati wa escrow ingekua ni trllion 12 na yenyewe ningekataa. Kenya kuna ufisadi lakini si wa mtu kuchukua trillion 12. Hiyo ni chai

Taarifa sio kufatilia, zilishakua wazi zimeandikwa sana na mamlaka. Sio billion 600 ni million 600. Billion 600 za Kenya ni pesa ambayo huyo angekua tajiri namba 3 au 4 wa africa. Ni pesa nyingi ambazo huwezi kuiba. Umeshindwa kutofautisha billion 600 na million 600, rudi soma hisabati.
👇👇👇👇👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20240917-105039_1.jpg
    Screenshot_20240917-105039_1.jpg
    327.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240917-104828_1.jpg
    Screenshot_20240917-104828_1.jpg
    96.9 KB · Views: 2
Ukikosea kubali, billion 600 za Kenya ni jambo haliwezekani. Kuliko hivi unabisha bora ungerudi na kurekebisha ulichosema.
Hiyo taarifa mimi naijua nilisoma na kufatlia. Haikua billion 600 , ilikua ni millioni 600 za Kenya. Ungeandika Million 600 nisingeshangaa. Au hujui utofauti wa billion 600 na million 600?
Soma hapo
👇👇👇
sasa ni Muhimu Zaid tujipange kupeleka viongozi wetu husasan wabunge wakajifunze namna ya kutokomea na milioni mia6 za walipa kodi kulingana na maoni ya mtoa hoja ya msingi, itapendeza Zaid 🐒
 
Uwingi wa pesa ndio sababu ya kudoubt taarifa. Hiyo wakati wa escrow ingekua ni trllion 12 na yenyewe ningekataa. Kenya kuna ufisadi lakini si wa mtu kuchukua trillion 12. Hiyo ni chai

Taarifa sio kufatilia, zilishakua wazi zimeandikwa sana na mamlaka. Sio billion 600 ni million 600. Billion 600 za Kenya ni pesa ambayo huyo angekua tajiri namba 3 au 4 wa africa. Ni pesa nyingi ambazo huwezi kuiba. Umeshindwa kutofautisha billion 600 na million 600, rudi soma hisabati.
👇👇👇👇👇👇👇
eeh sawa gentleman,
hata kama hiyo million mia6 ni pesa kidogo sana,

kweli hilo tukajifunze Kenya na kuwadhulimu wananchi wetu kwa utaratibu huo ndrugu zango? 🐒
 
Back
Top Bottom