Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
duh, sister unaua!
watu wazembe na wavivu inabidi wapewe vidonge right on their faces kisha wachague kumeza au kutema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh, sister unaua!
Lakini individually there are some good guys there ila hawana pa kusemea. Collective responsibility ndani ya CCM inawanyoa. Kumbuka hao MREMA alivyotoka CCM ni kwa sababu aliamua kkukiuka ka utaratibu hako ka kulindana.
Ni rahisi kuwajua mafisadi, lakini kuwaunganisha wabunge wetu wote kwa namna hii ni kuwakosea heshima. Tafadhali heshimu bunge letu 'tukufu' kwani lina mazuri yake. Kuna wabunge nina heshima kwao sana na napenda utendaji wao. Taja mmoja mmoja ukiwa na vigezo vinginevyo Mods muwe mnaangalia hawa wa2 wanaotaka kuharibu heshima ya wanene we2 kwani siasa c kupakana matope.
Mwiba bado nakusehesabia siku umekuja na kasi mpya na ari mpya na nguvu za zamani utachuja tu hapa ni JF. Maana unamwaga pumba kila kukicha na hata kumbukumbu huna kwamba wapinzani walipinga mapesa kuongezwa .Yaani kweli huoni mbali unasema Slaa alifanya nini ? Haya weeeeeeeeeeee
Hapa hatuzungumzii personalities/clans per se.Tunazungumzia realtime characters in relation to an event.
Unatumia sana wingi kama vile uko na kakikundi fulani hivi. Stand on your own sio kuimba ujumla kama mtoto wa nursery hivi!
Sina uhakika kama alisema hayo,na kama alisema basi alikuwa katika kufurahisha wengine mbona pia yupo Mbunge huko huko upinzani aliedai wabunge waongezewe chochote au hukumsikia huyo.Nikirudi kwa Slaa huyu nimemweka katika hesabu za magoigoi ukimlinganisha na Shujaa Zitto ambae hakurudi nyuma,Slaa kama si goigoi asingeliondoa moyo wa kuibua ufisadi ndani ya bunge .lakini akasema eti anaepuka kama yaliyomkuta Zitto ,ila huo ni uwongo mkubwa kuliko yote,hapa anaona mshahara na posho havitakuwepo,na kama hiyo hoja yake ya kutaka wakatwe fedha basi yeye angechukua kiasi kile anachoona kinastahiki kupata na kilichozidi akapiga makelele kwamba si haki yake na irudishwe huko huko bungeni,hapo angefahamika na kueleweka.