Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
toka lini mungu akamsamehe shetani!Esther na Halima tuwasamehe tuu ila wengine haswa wake za Salim Mwalimu na Benson Kigaila big NO
Suala la kujiuliza baada ya wake za hao Chauma kuwepo ni nani aliwaingiza mkenge?
Nusrat Hanje 😭
Samehe mara sabinitoka lini mungu akamsamehe shetani!
wewe ni mdee kumbeSamehe mara sabini
Mtu anategemea kulipwa milioni 400 kama pension na bado kwenye bunge fake anakuja 600,000 kwa siku ana hali mbaya?Kwakweli wana hari mbaya..
Mkuu ubunge sio pesa peke yake...Mtu anategemea kulipwa milioni 400 kama pension na bado kwenye bunge fake anakuja 600,000 kwa siku ana hali mbaya?
Ingekuwa siyo pesa wangegoma kulipwa pesa nyingi hivyo, kwani akiwa RC/DC nani atamsumbua biashara zake?Mkuu ubunge sio pesa peke yake...
Hapo mtu anawaza akikosa ubunge tena biashara zake zitakuaje!? Wkt mwngne wanabiashara zao na huwa zinakuwa salama coz ya cheo cha ubunge. (code).
Ukiambiwa huwezi Amini wanamadeni hao ni kwamba wamwisho maisha ya uongo uongo muda woteHao wakafanye shughuli nyingine , ila ubunge sio rahisi kupata.
Ni vyema pensio yao ya ubunge wasitumie kwenye kuhonga wajumbe watafeli
Hilo gorofa mkopo mtupuKwa kuwa wana MITAJI wakakomae na biashara..wanaweza jifanya kwa mwenzao Salome Makamba,amejenga kaghorofa chake Survey, anakula tu KODI
Waza kesho yako we ngedere, wenzako wameshatoboa bunge ikivunjwa wanachuku mamia ya mamilioni. We mlo wako wenyewe shida unawaza watu km hao? Pumbaf lisilo na hayaKila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19.
Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge yoyote wa Covid 19 kuweza kurejea bungeni tena.
Msongo mkubwa wa mawazo umewakumba covid 19 karibu wote, hawajui wapi pa kushika au kuacha, wachache wameshakata tamaa na wameanza kimtindo kuaga, ndani ya wiki chache zijazo wataliaga rasmi bunge na kurejea uraiani kula msoto mzito, matusi ya nguoni na kudhalilishwa milele.
Mpaka sasa CCM imegoma kwa 100% kuwahakikishia nafasi yoyote ya ubunge wa kupewa, Chadema walishafunga milango na madirisha yote, ACT hakuna uhakika hata wa 5% kuweza kutoboa na CHAUMMA ni kwenda kujirisha upepo maana kumekufa kabla ya kuzaliwa. Mambo ni magumu kote.