LGE2024 Wabunge wote wako Kwenye kampeni za Vyama vyao kasoro Wabunge wa COVID-19 tu, kwanini?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wabunge wa Vyama Vyote wametawanyika nchi nzima kufanya kampeni za Vyama vyao kasoro wale wabunge 19 wa Viti Maalum waliotokea Chadema

Hii inamaanisha nini?

Mlale Unono πŸ˜€
kuna moja niko nae huku jimboni, anajitahidi kwakweli kuambatana na kuandamana na waandamizi wa CCM wilaya,

Infact,
ameamza muda mrefu kugawa jezi za michezo zenye jina lake, anagawa computers kwenye baaadhi ya shule, Lakini pia tunafurahi kwenye baadhi ya shule kagawa viatu aina ya raba shule nzima.

kuhitimisha maelezo,
ni kwamba wengi wao wako kwenye maandalizi kabambe ya kujiunga CCM πŸ’
 
Mko naye hapo Bukoba? πŸ˜‚
 
Si umesema ni COVID-19? Watakuwa wameji-isolate wasiambukize watu
 
Wabunge wa Vyama Vyote wametawanyika nchi nzima kufanya kampeni za Vyama vyao kasoro wale wabunge 19 wa Viti Maalum waliotokea Chadema

Hii inamaanisha nini?

Mlale Unono πŸ˜€
Si hawana chama ?
 
Lost but found
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…