LGE2024 Wabunge wote wako Kwenye kampeni za Vyama vyao kasoro Wabunge wa COVID-19 tu, kwanini?

LGE2024 Wabunge wote wako Kwenye kampeni za Vyama vyao kasoro Wabunge wa COVID-19 tu, kwanini?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Chama chao kinapokea ruzuku ya ubunge wao, hiyo ni kampeni kubwa ya kutosha kabisa.
 
Wabunge wa Vyama Vyote wametawanyika nchi nzima kufanya kampeni za Vyama vyao kasoro wale wabunge 19 wa Viti Maalum waliotokea Chadema

Hii inamaanisha nini?

Mlale Unono 😀
Covid hawajijui kama wao ni ndege ama popo ujue jinsi laana ya usaliti ilivyombaya.
 
wanainjoy uhuru na haki ya kushiriki siasa kwa mujibu wa katiba na bila mbambamba ya mtu yeyote 🐒
Kama wako huru kiasi hicho mbona unaogopa kumtaja unae ambatana nae? Na yeye mwenyewe mbona anashindwa kusimama kwa uwazi kabisa kukipigia debe chama pendwa chake kama walivyofanya wale wenzao wa vyama rafiki?

Amandla...
 
Back
Top Bottom