jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
DigitaliSiku hizi vichambo vinatolewa na jinsia ya ME.
beeyatch
wanazngua kaya mzazi wacha nifungue lakike nilime ulezi ili nipate ndege.masela yanazngua aisee wengine sisi ni antisocialHahaaa. Afu dizain mtoa mada anapenda sana kushobokewa na vibinti sasa akiona kidume kimekatiza mbele ya sredi anachukiaaaaa. Nimeona na kuna sehemu analalamika hapati pm.
Acha uoga dogo. Kama umeamua ku hunt we winda tu.
wacheni wivu!
Afu pia ulisemaga unataka kufungua duka la nguo za kiume. Sasa wenzio ukiwachana hivi wateja si watapungua?
chimbo la nguo za dukani