Wacha mbuzi mnahoji kuhusu jezi

Wacha mbuzi mnahoji kuhusu jezi

Numero Uno

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
607
Reaction score
1,302
Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka.
Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
 
Oyaa🗣️, unajua tufike mahali tuweke ushabiki pembeni.

Kuhusu swala la jezi bwana tuwe wakweli, SIMBA SC wame/tumezingua sana
 
Au ni lini mkuu maaana naona kimyaaa yani kama wanaenda mazishini kwa mkapa
Nachojua ni mwezi huu ila tarehe ndio sijui, na hii sijui inatokana na udogo wa Club au namna gani?
 
Kwahiyo wewe unaona hii sawa?
Yaani mashabiki ya hilo li team la wahindi huwa mnaona kila mnachofanya ni sawa kabisa mpaka hapa..

Sasa mkitoa jezi leo na shughuli kesho zitauzwa saa ngapi?

Majezi yenyewe yapo bandarini nendeni mkalipie acheni kutupigie kelele au mcheze kifua wazi
 
Back
Top Bottom