Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Aisee hivi kumbe leo ndio siku ya wananchi?Hivi leo si Ynga day kuna nini kinajiri huko?
Samia yupo ziarani mkoa wa Mbeya. Watu wapo busy kusikiliza kama atashusha bei ya mafutaHivi leo si Ynga day kuna nini kinajiri huko?
Au ni lini mkuu maaana naona kimyaaa yani kama wanaenda mazishini kwa mkapaAisee hivi kumbe leo ndio siku ya wananchi?
AhaaaaaaSamia yupo ziarani mkoa wa Mbeya. Watu wapo busy kusikiliza kama atashusha bei ya mafuta
Nachojua ni mwezi huu ila tarehe ndio sijui, na hii sijui inatokana na udogo wa Club au namna gani?Au ni lini mkuu maaana naona kimyaaa yani kama wanaenda mazishini kwa mkapa
Ni maswali mazuri, maana si kawaidaNi kwamba wasipopata contents za Simba hawauzi inshort ni kwamba Simba ni talk of town iwe kwa mazuri au mabaya inajiuza