Wacha nimpe darasa kidogo Mzee Jakaya Kikwete

Mbona wanaposifiwa na kupongezwa na viongozi wa DINI hafurahi na kujipiga vifua vyao kwa furaha?
Mbona wanapokoselewa ndio huja na lugha ya kuchanganya siasa na dini sio nzuri?
Siku hizi watu tunajua dini na siasa vyema sana! tusiwasikilize hawa watu kwani wanatafuta kichaka cha kujifichia maovu yao! Tuendelee kuwapopoa kwa mawe na kusali ili Mola wetu asikie kilio chetu na kutuokoa na haya madhalimu!
 
Alie andika hii makala ni kichaa kabisa!
 
Ndio umwambie jk wako asitukumbushe ya gesi ya mtwara iyomwaga damu za wamakonde mengi tumemnyamazia tu

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana Kamanda wambie hata kama wanajifanya hawaelewi. Wanajua wanachotetea ni ufisadi tu. Dini wanajificha
 
Pambalu uwe na nidhamu, hata Mwenyekiti wako Mbowe hana msuli wa kumpa somo Kikwete.
 
π‘½π’Šπ’•π’‚ π’šπ’‚ π’…π’Šπ’π’Š 𝒏𝒂 π’”π’Šπ’‚π’”π’‚
 
Pambalu bana, maadili yapo chini sikuizi,

Yaani pambalu unamkalisha JK kumpa somo? Unadhani anasema asokijua?

Inatosha Kutoa maoni basi.

Pia nikukumbushe, Jimbo la nyamagana Huwa hawarudii mgombea!!!

Tafuta kwingine ukagombee, tayari unafahamika,

Ni hayo tu.

NB: Mkataba Ule ni BATILI na FAKE, ufutwe haraka!!
 
Waambiane ukweli tu kuwa bandari ni tamu kwa kuingiza vitu holela
Miaka yote hiyo hawajashiba tu au wanataka mpaka wawe na nyambizi pia
 
Hawezi kukuelewa yule
 
Hawaupingi mkataba,wanahitaji baadhi ya vipengele,viangaliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…