Mo-Reece
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 223
- 258
Balaa mzee na viazi vikitoka humo kama vimepikwa kwenye oven[emoji12]Daaaaah yani ww ni mwenzangu kabisa yn.......yn tukienda pori lazma tupitie matuta mawili matatu kutia baraka kidogo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaa mzee na viazi vikitoka humo kama vimepikwa kwenye oven[emoji12]Daaaaah yani ww ni mwenzangu kabisa yn.......yn tukienda pori lazma tupitie matuta mawili matatu kutia baraka kidogo.....
Haya bwana Mkubwa..Viazi navijua bana....
Poa...Haya bwana Mkubwa..
Siku nikija itabidi tutafutane tupige stori zile pande zetu!
ha ha hah h aha ha uwiii!Hayo malighafi upatikanaji wake ni kwenye shamba la shule maana tuliamini hakuna mitego ya kunasa wezi au kwenye shamba la mzee mtata wa kijiji, kujiamini kwake kutoibiwa ndo ilikuwa nafuu yetu kufukua matuta ya katikati.
Mkuu,maisha ya utotoni yalikuwa na raha sana. Tumeiba sana kuku wanao umwa sijui ndio kideri/wanaharisha na kwenye macho kuna wadudu weusi walikuwa wanazingira,tulikuwa tunaenda kuwachoma mbugani muda wa kuchunga ng'ombe.ha ha hah h aha ha uwiii!
Mkuu,maisha ya utotoni yalikuwa na raha sana. Tumeiba sana kuku wanao umwa sijui ndio kideri/wanaharisha na kwenye macho kuna wadudu weusi walikuwa wanazingira,tulikuwa tunaenda kuwachoma mbugani muda wa kuchunga ng'ombe.
Tukisha kula kuku "wagonjwa" ,mechi ya mpira wa miguu inaanza, mwamuzi ni giza liingie.
h aha hahaha hahaaa afrika raha sana,hasa old school,mitoto ya siku hizi bure kabisa..kutwa kulilia PS4 Pro!Mkuu,maisha ya utotoni yalikuwa na raha sana. Tumeiba sana kuku wanao umwa sijui ndio kideri/wanaharisha na kwenye macho kuna wadudu weusi walikuwa wanazingira,tulikuwa tunaenda kuwachoma mbugani muda wa kuchunga ng'ombe.
Tukisha kula kuku "wagonjwa" ,mechi ya mpira wa miguu inaanza, mwamuzi ni giza liingie.
Huo huo mkuu,ahsante kwa msaada wakoutitiri!??
Duh.. we ni msukuma wa wapi?Baba hapo tumeenda kuchunga ng'ombe
Mauji kama hayo ni lazima tena tulikua tunatumia mavi ya ng'ombe kuchomea
Ikibidi tunamtafuta ng'ombe anaetoa maziwa tunamkamua maziwa tunakunywa na viazi[emoji41]
Aisee we jamaa unataka kunipora bebi wangu au? Usijaribu, utanasa
Mi sio msukuma ila nimeishi usukumani[emoji41]Duh.. we ni msukuma wa wapi?
Ok poa kiongoziMi sio msukuma ila nimeishi usukumani[emoji41]