Wachache sana tunaelewa kinachoendelea

sitasahau siku niliaga naenda mafundisho KKKT geza kipindi ikiwa ni mtaa tukavuka road ya Moshi arusha tukaingia mitaa ya shule ya safina kuanza tu kuchimba karanga na viazi si tukakurupuliwa na mwenye shamba tukasahau malapa. home hatuwezi kwenda maana hatuna malapa wala daftari wala tembea na Kristo huku babu mwenye shamba anasema anaenda tuloga msikitini wake ulikuwa sio poa
 
Hayo malighafi upatikanaji wake ni kwenye shamba la shule maana tuliamini hakuna mitego ya kunasa wezi au kwenye shamba la mzee mtata wa kijiji, kujiamini kwake kutoibiwa ndo ilikuwa nafuu yetu kufukua matuta ya katikati.
ha ha hah h aha ha uwiii!
 
huyo jamaa mwenye mihogo sijui kama alilala vizuri huo usiku,maana anaonekana kavimbiwa kabla hata hajaitumia hiyo shehena mifukoni...
 
ha ha hah h aha ha uwiii!
Mkuu,maisha ya utotoni yalikuwa na raha sana. Tumeiba sana kuku wanao umwa sijui ndio kideri/wanaharisha na kwenye macho kuna wadudu weusi walikuwa wanazingira,tulikuwa tunaenda kuwachoma mbugani muda wa kuchunga ng'ombe.
Tukisha kula kuku "wagonjwa" ,mechi ya mpira wa miguu inaanza, mwamuzi ni giza liingie.
 


utitiri!??
 
h aha hahaha hahaaa afrika raha sana,hasa old school,mitoto ya siku hizi bure kabisa..kutwa kulilia PS4 Pro!
 
Watoto wa mjini hawawezi kuelewa chochote hapo
 
Baba hapo tumeenda kuchunga ng'ombe
Mauji kama hayo ni lazima tena tulikua tunatumia mavi ya ng'ombe kuchomea
Ikibidi tunamtafuta ng'ombe anaetoa maziwa tunamkamua maziwa tunakunywa na viazi[emoji41]
Duh.. we ni msukuma wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…