Wachache watamtambua. From nothingness to greatness, what a miracle!!!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Katika kipindi chake aliheshimu katiba na alikuwa na uvumilivu. Hakuwahi kujikweza na kutisha wengine kwa kusema "usicheze na mimi". Aliwathamini hata wenye mawazo tofauti. Alithamini na kujenga usawa miongoni mwa aliyo waongoza.

Ni nani huyu kwenye hii picha.? Hapa ni kipindi ambacho hata neno "nchi' alilitamka "inchi".

FB_IMG_1645905716979.jpg
 
Kumbeeee, ndo alikua pisi hivi,Babu Makinda alipata mwali kwakweli?
 
Katika kipindi chake aliheshimu katiba na alikuwa na uvumilivu. Hakuwahi kujikweza na kutisha wengine kwa kusema "usicheze na mimi".
Aliwathamini hata wenye mawazo tofauti. Alithamini na kujenga usawa miongoni mwa aliyo waongoza.

Ni nani huyu kwenye hii picha.? Hapa ni kipindi ambacho hata neno "nchi' alilitamka "inchi".

View attachment 2132382

Alianza zamani na AFRO yake ingawa siku hizi ni ya WIG!!
 
Katika kipindi chake aliheshimu katiba na alikuwa na uvumilivu. Hakuwahi kujikweza na kutisha wengine kwa kusema "usicheze na mimi".
Aliwathamini hata wenye mawazo tofauti. Alithamini na kujenga usawa miongoni mwa aliyo waongoza.

Ni nani huyu kwenye hii picha.? Hapa ni kipindi ambacho hata neno "nchi' alilitamka "inchi".

View attachment 2132382
Bibi Anna Makinda
 
Anna Semamba Makinda, alipata kua spika baada ya mwamba sana Samuel Sitta na akaweza kuliunganisha Bunge la jamhuri ya muungano akatuachia janga pale ndugu job ndugai, ni spika ambae wabunge vyama vyote walimpenda
 
Katika kipindi chake aliheshimu katiba na alikuwa na uvumilivu. Hakuwahi kujikweza na kutisha wengine kwa kusema "usicheze na mimi". Aliwathamini hata wenye mawazo tofauti. Alithamini na kujenga usawa miongoni mwa aliyo waongoza.

Ni nani huyu kwenye hii picha.? Hapa ni kipindi ambacho hata neno "nchi' alilitamka "inchi".

View attachment 2132382
Njombe 1 hiyo
 
Kumba Maza Makinda naye alikuwa Pisi Kali namna hii?
 
Back
Top Bottom