#COVID19 Wachaga acheni kusafirisha maiti kwenda Kilimanjaro, mnachochea maambukizi ya Corona

#COVID19 Wachaga acheni kusafirisha maiti kwenda Kilimanjaro, mnachochea maambukizi ya Corona

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
410
Reaction score
987
Habari wakuu,

Huku kwetu hali si shwari, nipo ugogoni vifo ni vingi mno cha ajabu wengi wao ni watu wa Kaskazini.

Walianza wawili inasemekana walienda kuzika huko Moshi, baada ya kurudi aliumwa na kufariki wakaenda kumzika Moshi,baada ya kurudi kwenye mazishi, vifo tena vitatu wakapeleka huko leo tena wawili huko Moshi.
 
Habari wakuu,uku kwetu Hali si shwali,Nipo ugogoni vifo Ni vingi mno Cha ajabu wengi wao ni watu wa kasikazini

Walianza wawili inasemekana walienda kuzika uko Moshi, baada ya kurudi aliumwa na kufariki wakaenda kumzika Moshi,baada ya kurudi kwenye mazishi,vifo tena vitatu wakapeleka uko leo tena wawili uko Moshi kunani jamani
unajua muda si mrefu watabaki wachaga vijana tu, wazee wataisha wote. hiyo ni self assasination, acheni mila na desturi za ajabu. mnaua wazee wenu, na wale wanene, na mnavyopenda kitimoto na pombe mnanenepa na miili hiyo mingi ndio inapigwa na korona. mnasambaza bila kujua.
 
Hivyi mwaka Jana mlikuwepo ilivyoanza au mnataka muhusishe mavi na wachaga
 
Yaani mtu anapoleta dhihaka katika misiba huwa sielewi kabisa...
 
R.I.P.Mbowe.

Baba yake mdogo,sijui tumeelewana ndugu zangu.
 
juzi tumepeleka msiba kiraracha,
kweli korona inazidi kusambaa kwa kusafirisha miili.hatari sana.

jamani watanzania wenzangu wenye magonjwa kama;
1. KISUKARI
2. UKIMWI
3. SARATANI
4. KIFUA KIKUU
5. CELI MUNDU
Chukueni tahadhari hili wimbi la tatu lina puputisha balaa, aise.
 
Habari wakuu,

Huku kwetu hali si shwari, nipo ugogoni vifo ni vingi mno cha ajabu wengi wao ni watu wa Kaskazini.

Walianza wawili inasemekana walienda kuzika huko Moshi, baada ya kurudi aliumwa na kufariki wakaenda kumzika Moshi,baada ya kurudi kwenye mazishi, vifo tena vitatu wakapeleka huko leo tena wawili huko Moshi.
Acha undezi, korona haiwezi kutuua Wachagga wote, wala isiwe kichocheo cha kuharibu mila na tamaduni zetu
 
Ata wana israel walipotoka utumwani kwenda kanani walibeba adi maiti kwaiyo ni uwamuzi wao tu
 
Back
Top Bottom