#COVID19 Wachaga acheni kusafirisha maiti kwenda Kilimanjaro, mnachochea maambukizi ya Corona

Hujawahi jiuliza kwanini wachaga ndo wanakufa zaidi na covid?kama baridi hata mbeya ipo,hili jambo ukitaka kuelewa litazame kiroho zaidi
Hawa ndugu zetu ndo wako vizuri zaidi kwenye masuala ya biashara na vifo vingi kutokea huko ina maana hili ni shambulio ya kiuchumi,tajiri mmoja akifa,kampuni anayoendesha kwa asilimia kubwa inaweza isisimame na ikifa wanaopata kipato kupitia huyo wote wataumia!
Tayari hapo uchumi wa wengi unakua ushapigwa
Unapoona matajiri wanakufa,maprofesa wanakatika uwaze mbali zaidi kuwa unaoshambuliwa pale ni uchumi!
Waweke kwenye maombi watu wowote unaohisi ni vyao vya mapato kwa wengine bila kujali imani yake,wakianguka hawa ndugu zetu,marafiki na jamaa wanaotegemea hapo wanaumia zaidi!
Mungu uwalinde hawa watu kwa jina la Yesu,Amen!
 
Hii ishu ya kusafirisha maiti serikali iingilie kati hasa kwenye kipindi hiki cha delta na ndio kichocheo kikubwa kwa huo ugonjwa kusambaa kwa kasi Mkoa wa Kilimanjaro...
 
unajua muda si mrefu watabaki wachaga vijana tu, wazee wataisha wote. hiyo ni self assasination, acheni mila na desturi za ajabu. mnaua wazee wenu, na wale wanene, na mnavyopenda kitimoto na pombe mnanenepa na miili hiyo mingi ndio inapigwa na korona. mnasambaza bila kujua.
Utayatafuta haya maneno ayanywe uyameze yapotelee tumboni mwako lakini hautafanikiwa....

Poleni Wachagga.

Ni kwa vile mnasafiri sana kupambana na Maisha!
 
Haya mambo ya kubuni bwana

Ukishasema "kiroho" then anything you think in your head is just correct....

Thats conscious primacy,unaamini ya kufikirika kwenye ubongo wako binafsi!

Anyone with hoja ya "kiroho" can say anything coming of his head thinking it is true
What if it's really true?
 
Chagga Hate (C.H)

Hupati faida yeyote ukichukia group la wanadamu wenzio wa jamii ingine

Kuliko kupoteza muda kuchukia jamii ingine ni heri huo muda utumie kuPenda jamii yako
unaweza kuwa unaongea na mtu ambaye mama yake ni mchaga bila wewe kujua. uliza kwanza. no body hates chagga kwa taarifa yako. ningekuwa na hate ningehate lile genge lililopita sitaki kulitaja.
 
Wachaga noma. Kuna mzee kafia Moshi mipango ya mazishi inafanyika sehemu tatu: Dar, Moshi na Arusha.
kitu cha ajabu sana ni kwamba, watu huwa wanajali sana vile watakavyozikwa kuliko kule watakakoenda baada ya kifo chao. wakuzike moshi, wakuzike manzese, uliwe na simba au mamba etc ni vilevile tu, umekufa, na haiongezi chochote kwenye maisha yako baada ya kifo. jalini kule mnakoenda kuliko miili inayobaki kuoza.
 
Habari wakuu,

Huku kwetu hali si shwari, nipo ugogoni vifo ni vingi mno cha ajabu wengi wao ni watu wa Kaskazini.

Walianza wawili inasemekana walienda kuzika huko Moshi, baada ya kurudi aliumwa na kufariki wakaenda kumzika Moshi,baada ya kurudi kwenye mazishi, vifo tena vitatu wakapeleka huko leo tena wawili huko Moshi.
Kama kawaida utazikwaje porini.
Ukifa utapelekwa tuu hata kama sio ndugu zako kusafirishwa higo ni lazima
 
kitu cha ajabu sana ni kwamba, watu huwa wanajali sana vile watakavyozikwa kuliko kule watakakoenda baada ya kifo chao. wakuzike moshi, wakuzike manzese, uliwe na simba au mamba etc ni vilevile tu, umekufa, na haiongezi chochote kwenye maisha yako baada ya kifo. jalini kule mnakoenda kuliko miili inayobaki kuoza.
Hakika umenena, hata ujengewe kaburi kwa vitu vya thamani kubwa, kama hujaanda maisha yako ya kiroho ni bure tu!
 
unajua muda si mrefu watabaki wachaga vijana tu, wazee wataisha wote. hiyo ni self assasination, acheni mila na desturi za ajabu. mnaua wazee wenu, na wale wanene, na mnavyopenda kitimoto na pombe mnanenepa na miili hiyo mingi ndio inapigwa na korona. mnasambaza bila kujua.

Delta 3 haiangalii cha kijana wala muzee. Imeshauwa vijana wengi tu, yule mchagga wa Shinyanga kwa sasa marehemu "FRESHO" hajafikia uzee na amechomoka kwa corona, mwili wake umepelekwa moshi na ashazikwa.
 
Habari wakuu,

Huku kwetu hali si shwari, nipo ugogoni vifo ni vingi mno cha ajabu wengi wao ni watu wa Kaskazini.

Walianza wawili inasemekana walienda kuzika huko Moshi, baada ya kurudi aliumwa na kufariki wakaenda kumzika Moshi,baada ya kurudi kwenye mazishi, vifo tena vitatu wakapeleka huko leo tena wawili huko Moshi.
Haaaaa wekeni geti,mbona mageti ya mazao mmeweza
 
Hujawahi jiuliza kwanini wachaga ndo wanakufa zaidi na covid?kama baridi hata mbeya ipo,hili jambo ukitaka kuelewa litazame kiroho zaidi
Hawa ndugu zetu ndo wako vizuri zaidi kwenye masuala ya biashara na vifo vingi kutokea huko ina maana hili ni shambulio ya kiuchumi,tajiri mmoja akifa,kampuni anayoendesha kwa asilimia kubwa inaweza isisimame na ikifa wanaopata kipato kupitia huyo wote wataumia!
Tayari hapo uchumi wa wengi unakua ushapigwa
Unapoona matajiri wanakufa,maprofesa wanakatika uwaze mbali zaidi kuwa unaoshambuliwa pale ni uchumi!
Waweke kwenye maombi watu wowote unaohisi ni vyao vya mapato kwa wengine bila kujali imani yake,wakianguka hawa ndugu zetu,marafiki na jamaa wanaotegemea hapo wanaumia zaidi!
Mungu uwalinde hawa watu kwa jina la Yesu,Amen!

Amen
 
juzi tumepeleka msiba kiraracha,
kweli korona inazidi kusambaa kwa kusafirisha miili.hatari sana.

jamani watanzania wenzangu wenye magonjwa kama;
1. KISUKARI
2. UKIMWI
3. SARATANI
4. KIFUA KIKUU
5. CELI MUNDU
Chukueni tahadhari hili wimbi la tatu lina puputisha balaa, aise.
Walioplan hii kitu wanataka kizazi ambacho kipo energetic
 
unajua muda si mrefu watabaki wachaga vijana tu, wazee wataisha wote. hiyo ni self assasination, acheni mila na desturi za ajabu. mnaua wazee wenu, na wale wanene, na mnavyopenda kitimoto na pombe mnanenepa na miili hiyo mingi ndio inapigwa na korona. mnasambaza bila kujua.
wewe na mwenzako naliwe ni wapuuzi tu, Hiyo mochwari ya Dodoma Referal kuna mchagga hata mmoja? mbona kibao ni wagogo tupu wametolewa humo hata Mbunge wenu wa zamani aliyeoa mchagga kaondoka na Corona tumemfukia, kwani gharama za kuzikwa kwa Babayu au Mvumi hazikutimia
Corona inawashika wote iwe Dodoma au Rombo sasa mnapoona familia imeamua ikakutanie huko pesa na magari yanayoelekea huko inawauma
Hapo si lipo Gari la Mbunge? tumieni km litatembea hata mita 100
 
Mambo
Si ndio mpaka u-prove kua ni true?

Huja prove

Na mwenye kazi ya kuprove ni wewe muota hizi ndoto unazotuambia

Issue hapa ni kwamba kama una proof na unachosema tuwekee hapa,sio mambo ya "kiroho" maana ni mambo ya kufikirika and hard to prove!

Unawezaje kuprove kitu cha "kiroho" kwenye moyo wa mtu?Impossible

Hivyo sisi wanadamu wengine ni ngumu kuamini kitu hakina proof wala kukitolea proof huwezi!
Mambo ya kiroho hutambuliwa kwa namna za kiroho na si vinginevyo!
Kama tunavyoamini Yesu atakuja na hili it's just the same,
 
Hujawahi jiuliza kwanini wachaga ndo wanakufa zaidi na covid?kama baridi hata mbeya ipo,hili jambo ukitaka kuelewa litazame kiroho zaidi
Hawa ndugu zetu ndo wako vizuri zaidi kwenye masuala ya biashara na vifo vingi kutokea huko ina maana hili ni shambulio ya kiuchumi,tajiri mmoja akifa,kampuni anayoendesha kwa asilimia kubwa inaweza isisimame na ikifa wanaopata kipato kupitia huyo wote wataumia!
Tayari hapo uchumi wa wengi unakua ushapigwa
Unapoona matajiri wanakufa,maprofesa wanakatika uwaze mbali zaidi kuwa unaoshambuliwa pale ni uchumi!
Waweke kwenye maombi watu wowote unaohisi ni vyao vya mapato kwa wengine bila kujali imani yake,wakianguka hawa ndugu zetu,marafiki na jamaa wanaotegemea hapo wanaumia zaidi!
Mungu uwalinde hawa watu kwa jina la Yesu,Amen!
Amen mtumishi wa Mungu aliye hai [emoji120]
 
Haya mambo ya kubuni bwana

Ukishasema "kiroho" then anything you think in your head is just correct....

Thats conscious primacy,unaamini ya kufikirika kwenye ubongo wako binafsi!

Anyone with hoja ya "kiroho" can say anything coming of his head thinking it is true
Hivi kwanini humu watu wakizungumzia mambo ya rohoni watu mnakuja na kejeli kiasi hiki?? Mnakera sana aisee
 
Uongo mtupu.
Ujerumani wanakula sana kitimoto na bia za kutosha na wastani wao wa kuishi ni miaka 80 wewe mmatumbi usiyekula kitimoto na unashindia al kasusu wastani wako wa kuishi ni miaka 65.
Hakujawahi kuwa na usalama wa kiafya kwa watumiaji wa hivyo vitu..kama hutaki kuelewa ni wewe ila iko hivyo...hua ni suala la muda tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom