unajua muda si mrefu watabaki wachaga vijana tu, wazee wataisha wote. hiyo ni self assasination, acheni mila na desturi za ajabu. mnaua wazee wenu, na wale wanene, na mnavyopenda kitimoto na pombe mnanenepa na miili hiyo mingi ndio inapigwa na korona. mnasambaza bila kujua.Habari wakuu,uku kwetu Hali si shwali,Nipo ugogoni vifo Ni vingi mno Cha ajabu wengi wao ni watu wa kasikazini
Walianza wawili inasemekana walienda kuzika uko Moshi, baada ya kurudi aliumwa na kufariki wakaenda kumzika Moshi,baada ya kurudi kwenye mazishi,vifo tena vitatu wakapeleka uko leo tena wawili uko Moshi kunani jamani
Ndio hasara za ulevi wa kupindukia na ulaji wa makitimoto..naona majibu wameanza kuyapata sasa.
Poleni kwa wafiwa.
#MaendeleoHayanaChama
Hakujawahi kuwa na usalama wa kiafya kwa watumiaji wa hivyo vitu..kama hutaki kuelewa ni wewe ila iko hivyo...hua ni suala la muda tu.Chukua tahadhari na maneno yako mkuu, dunia mapito mkuu, ujuaji mwingi mbele giza
Acha undezi, korona haiwezi kutuua Wachagga wote, wala isiwe kichocheo cha kuharibu mila na tamaduni zetuHabari wakuu,
Huku kwetu hali si shwari, nipo ugogoni vifo ni vingi mno cha ajabu wengi wao ni watu wa Kaskazini.
Walianza wawili inasemekana walienda kuzika huko Moshi, baada ya kurudi aliumwa na kufariki wakaenda kumzika Moshi,baada ya kurudi kwenye mazishi, vifo tena vitatu wakapeleka huko leo tena wawili huko Moshi.