Ukiona kanywa na hajafa anajiweza na usimlaumu kwabkupiga 9500 yake swaaaafiii mbona ni starehe tu iwe inamtesa au haimtesi[emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchungu waupokee kuna mchaga hapa kalewa na k vant jua kali kama ili amekunywa chupa yote peke yake
Acha watafune maini na kidney si mbaya ni miili yao wenyeweIvi wachaga mna nini hasa au mlitupiwa jini vuta picha jua kali kama hili mtu anakunywa k vant na konyagi anatafuta nini
Acheni kujiendekez pombe sio dili walevi wote washamba tu
Dr hyperkid mzee kikwete hujamboWengine wanalewa hadi jukwaani hovyo sana
Sijambo kiongozi, ni avatar tuh nduguDr hyperkid mzee kikwete hujambo
Ukiona kanywa na hajafa anajiweza na usimlaumu kwabkupiga 9500 yake swaaaafiii mbona ni starehe tu iwe inamtesa au haimtesi
Waskuma wanaongoza kunywa gongo Tanzania.Ivi wachaga mna nini hasa au mlitupiwa jini vuta picha jua kali kama hili mtu anakunywa k vant na konyagi anatafuta nini
Acheni kujiendekez pombe sio dili walevi wote washamba tu
HahahahaNashangaa huyu meleta mada anaka nyumba choo na bafu ni humo humour wanaingia kwa foleni. Haijulikani anayeenda kunya wala kuoga. Ukibanwa na mavi uanze kutia huruma wenzako wakuruhusu ukate foleni ukakate gogo[emoji2959][emoji2959][emoji2959]
azungumzie walevi waache pombe sio kusema wachaga ni walevi.
Kama anajiamini aje hapa sinza kijiweni aje na bodaboda nitailipia [emoji2959]
HahahahaMm mpak na maliza chuo kikuu sikuwai na niliweka nadhiri sito kunywa pombe [emoji851] [emoji1783] na laiti kama mambo yange enda kama nilivyo yapanga Mimi nusinge kuja onja pombe ila kuingia mtaan nika Kuta it's vise versa Nika Anza jifunza kunywa Ili niupate usingizi....
KweliUtakuwa punga wewe nimereview post zako sio riziki wewe
Imekutachi itakua nawewe mmojawapoMwanaume unamfuatliaje mwanaume mwenzio
Hizo ni mentality za kishoga nina wasiwasi na mleta hoja
Jifunze kubalance shobo..
Kyasaka mkubwa huyoKweli kabisa fact💯
Katuvunjia heshima wachaga. Nampa masaa 3 aombe msamaha. Natema mate chini yakikauka atakiona🤬
Chasaka 🤣🤣🤣🤣Kyasaka mkubwa huyo
Ooh kumbe ni chasaka 😀😀Chasaka 🤣🤣🤣🤣
Siku akiingia kingi lazima ale makofi ya kutosha..
Mrema alisema bila mchaga njii hii isingepiga hatua, hivi usafi wa mazingira ya nyumbani kwa vijijini kwa wachaga walivo wasafi unaweza linganisha na vijiji vya wasukuma, wamasai, waha walivo wachafu