Wachaga acheni pombe

Wachaga acheni pombe

[emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchungu waupokee kuna mchaga hapa kalewa na k vant jua kali kama ili amekunywa chupa yote peke yake
Ukiona kanywa na hajafa anajiweza na usimlaumu kwabkupiga 9500 yake swaaaafiii mbona ni starehe tu iwe inamtesa au haimtesi
 
Ivi wachaga mna nini hasa au mlitupiwa jini vuta picha jua kali kama hili mtu anakunywa k vant na konyagi anatafuta nini

Acheni kujiendekez pombe sio dili walevi wote washamba tu
Acha watafune maini na kidney si mbaya ni miili yao wenyewe
 
Nashangaa huyu meleta mada anaka nyumba choo na bafu ni humo humour wanaingia kwa foleni. Haijulikani anayeenda kunya wala kuoga. Ukibanwa na mavi uanze kutia huruma wenzako wakuruhusu ukate foleni ukakate gogo[emoji2959][emoji2959][emoji2959]

azungumzie walevi waache pombe sio kusema wachaga ni walevi.

Kama anajiamini aje hapa sinza kijiweni aje na bodaboda nitailipia [emoji2959]
Hahahaha
 
Mm mpak na maliza chuo kikuu sikuwai na niliweka nadhiri sito kunywa pombe [emoji851] [emoji1783] na laiti kama mambo yange enda kama nilivyo yapanga Mimi nusinge kuja onja pombe ila kuingia mtaan nika Kuta it's vise versa Nika Anza jifunza kunywa Ili niupate usingizi....
Hahahaha
 
Mrema alisema bila mchaga njii hii isingepiga hatua, hivi usafi wa mazingira ya nyumbani kwa vijijini kwa wachaga walivo wasafi unaweza linganisha na vijiji vya wasukuma, wamasai, waha walivo wachafu
 
Mrema alisema bila mchaga njii hii isingepiga hatua, hivi usafi wa mazingira ya nyumbani kwa vijijini kwa wachaga walivo wasafi unaweza linganisha na vijiji vya wasukuma, wamasai, waha walivo wachafu

Lekebisha kauli wewe uko uchagani mnalima nini zaid ya ndizi za kuiva na parachichi kingine kipi? Usafi mbona ata arusha pasafi sana na huku mbeya kuko kweupe
 
Back
Top Bottom