Wachaga ambao mshaanza kwenda Moshi sasa hivi, Januari hatupokei simu zenu!

Wachaga ambao mshaanza kwenda Moshi sasa hivi, Januari hatupokei simu zenu!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Nimeona kuna baadhi ya Wachaga wameshaanza kupanda Esta na Marangu Coach kuelekea kwao.

Simu zenu hatutapokea Januari. Unaendaje Moshi mapema hivi?
Una uhakika hiyo 500k yako ita-survive mpaka Januari?
Mnaenda huko kula ada, then Januari simu zinakuwa nyingi. Hatutapokea simu

Raha ya Moshi uende kuanzia Tarehe 23 December, Tarehe 24 unakutana na majirani, Tarehe 25 Christmas, 26 unaenda kuangalia mashamba before you know it usharudi Dar.

Unapunguza gharama za maisha!

Wachaga msiseme hatukuwaambia

 
Back
Top Bottom