Wachaga kwa swagz uwawezi!

Babuu blessed

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
1,362
Reaction score
491
Mangi kakamatwa na askari.alipofika kituoni mambo yalikuwa ivi.
Askari ...unaitwa nani?
Mchaga ... Mboya afande!
Askari... Wacha kufanya utani na chombo cha usalama.untaja sehemu zangu za siri.
Mchaga .. Hapana ilo ndilo jina langu babangu naitwa mboya afande.
Wacha jamaa achezee kichapo baadae ndo anasema mi naitwa
mr mboya
 
Basi kuna kina Mboro hao unaweza ukapiga na kuua bado ataendazikwa Lyasomboro kwa kina Mboro
 
Basi kuna kina Mboro hao unaweza ukapiga na kuua bado ataendazikwa Lyasomboro kwa kina Mboro

mr mboro! Bway bway bway apa unaweza kosana na mtu lazma uwe na nickname
 

na afande akauliza,

Mboya nani?

mchaga: Mboya Joni

bahati mbaya afande anaitwa Joni lol!! kichapo zaidi
 
hahahahah...nyie acheni kunivunja mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…