Wachaga mna matatizo gani??

Wachaga mna matatizo gani??

Mdada/manengelo?
Kuna mkaka fulan enzi za 2005 alimtongoza mdada 1..wamefika bar akampiga kiaina block mdada aagize apendacho..akaagiza pepsi 2..wakat huo pepsi ilikua cheap kuliko coca..wamemaliza akamwambia demu nisindikize Kimara mara 1..wamepanda hiace ubungo konda anadai naul..jamaa akamwambia demu huna 300 demu akasema sina..akamqambia 100 je[emoji23][emoji23]demu akasema sina..akarudia huna ht 50[emoji23][emoji23]..ni miaka ila huwa hatusahau...hhahaha
 
Hilo ndilo lililo kukimbiza kwa kaka blaza hadi ukaisahau miguu Msata ukaifuata kesho yake!?Ngoja nimshtue kaka blaza afanye mambo urudi kiligeni maana msimu huu ni kupashana viporo#i don't care
Yaani hao hata usingewataja, ubahiri ni wao, uchawi ni wao, ufuska ni wao, yaani wanakera jamani. Mshana Jr samahani ila ilibidi niseme tu ukweli wenu, nimeishi nanyi mpaka nimechoka.
 
Back
Top Bottom