Kuna mkaka fulan enzi za 2005 alimtongoza mdada 1..wamefika bar akampiga kiaina block mdada aagize apendacho..akaagiza pepsi 2..wakat huo pepsi ilikua cheap kuliko coca..wamemaliza akamwambia demu nisindikize Kimara mara 1..wamepanda hiace ubungo konda anadai naul..jamaa akamwambia demu huna 300 demu akasema sina..akamqambia 100 je[emoji23][emoji23]demu akasema sina..akarudia huna ht 50[emoji23][emoji23]..ni miaka ila huwa hatusahau...hhahaha
Mdada/manengelo?
Babu Yako Unamuita Mdogo Wako? [emoji23]Niambie mdogo wangu
Babu Yako Unamuita Mdogo Wako? [emoji23]
Unataka Kuninyima Nini Hadi Unanipa Huo Udogo Udogo?
Nikikupa Shikamoo Utaweka Boundary Nikakosa Vingine.ID yako speaks all..unaonekana mdogo saaana kwangu[emoji847]..Nashangaa hunipi shikamoo
Nikikupa Shikamoo Utaweka Boundary Nikakosa Vingine.
Malengo La Hii I'd Nikuonekana Ya Kitoto
Haahaa..ili uburuze eh ..hahaa
Tusifanyiane Hivyo Shikamoo Za Kunyimana-Nyimana Si Nzuri Kwa Afya
Kwanini?Naona unataka kupata laana ya kijamii..
Bora wachaga wapare umewasahau
Yaani hao hata usingewataja, ubahiri ni wao, uchawi ni wao, ufuska ni wao, yaani wanakera jamani. Mshana Jr samahani ila ilibidi niseme tu ukweli wenu, nimeishi nanyi mpaka nimechoka.