Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Na kumchagua Membe 2020Vyuma vimekaza ni msemo wa nyumbu ili kuwakamata wakinga wachague chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kumchagua Membe 2020Vyuma vimekaza ni msemo wa nyumbu ili kuwakamata wakinga wachague chadema
Kusalimiana kwa teknolojia ya leo wala hakuhitaji safari. Hao wanaenda kutambika tu.
Sasa ulikuwa unabisha nini nilipoteza wanakwenda kutambika. Mie nipo kwetu, unafikiri mie wakuja kama wewe?Ww huendagi kwenu? Ofcourse hakuna kabila ambalo halitambiki. Kuongea kwenye simu kwa muda mrefu si kama kuonana na mtu. Ni tofauti kabisa.
once again mkataa kwa mtumwa
@Mashao lole nimependa jina lako ujueJamani naombeni lift
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii habari si njema pale jumba jeupee,
Inabidi mwezi wa 12 kodi itizwe kila gari inayoenda moshi
nakweli huyu@espy aje adhibitisheDhibitisha
Asante, unajua maana yake??@Mashao lole nimependa jina lako ujue
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nenda kwenu[emoji135][emoji135][emoji135]acha visingizio!
Asante, unajua maana yake??
Basi wewe wa nyumbani kabisaSijui maana yake lakini hata mm naitwa hivo halafu hilo pili kuna sehemu inaitwa hivo nyumban kule
Wewe kwenu Naliendele uko hapatamaniki kwenda. Umeme vijijini hakuna, mnakunywa maji ya visimani, vyoo bora ni hakuna kwa nini usipachukie kwenu? Acha wivu njo ujifunze jinsi watu wa moshi wanavyoishi na kwanini wanapenda kwenda kwao ..pako juu sana hapachoshi..Kusalimiana kwa teknolojia ya leo wala hakuhitaji safari. Hao wanaenda kutambika tu.