Wachaga na Escudo/Rav 4 Model za zamaniii..T 107 A..

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.

Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni
 
RAV4 na Stout zote ni Toyota gari imara sana milimani.
 
wasukuma buana endeleeni kuagiza hizo mark two zenu six cylinder sisi vyombo vyetu ni vya kazi kama kawaida tukiuza landrover tunaagiza hilux mashavu au double cabin
 
najivunia uchaga na ninajivunia kumiliki RAV 4 ya mwaka 1996, gari ngumu inayohimili mikiki mikiki ya mlimani, na hata mjini pia inaheshimika, spare bei rahisi na kwa matunzo mazuri hapa TZ ina miaka 11, na mimi nimeitumia kwa miaka 5 sasa
 
Wachaga Wanajua Magari,huwa wananunua magari kwa matumizi maalum/iwasaidie kwa shuguli zao
Escudo gari unaweza kwenda nalo shambani au kubebea bidhaaa syo nyie mnanunua passo au ist mkiwa na mizigo mnakodi magari,sehemu za kwenda mnachagua maana barabara mbovu hampiti gari hazina fourwheel
Mm binafsi nawaona wachaga Wanajua kuchagua Magari hawanunuli sifa

Ova
 


Yeah. Jamaa nawakubali sana
Niwatafutaji wa pesa na ndio maana wanatumia hizi ambazo ni imara na unaingia nazo popote iwe shambani au mjini,mlimani au vinginevyo
Mchaga siyo bishoo wa kutumia ist passo,vitz n.k kwa matanuzi tu, ndo maana uchagani kumeendelea sana
Ata mm nazipenda hizo maana ata shamba gari ifike utaendaje na ist kwenye shamba la kahawa mkuu?
Rav 4,escudo nadhani xtrail nalo linafaa ata shamba linatinga pia
 
Mtahangaika sana na sisi...na hivi ndio Christmass inakaribia hata sioni shida.Mwezi haupiti bila wachagga kujadiliwa hapa jamvini.
 
Sasa na wewe Kinachokuwasha nini hapo mwenzio kupenda hzi chaguzi? Mbona unalazimisha watu wawe kama wee? Duuu
 
najivunia uchaga na ninajivunia kumiliki RAV 4 ya mwaka 1996, gari ngumu inayohimili mikiki mikiki ya mlimani, na hata mjini pia inaheshimika, spare bei rahisi na kwa matunzo mazuri hapa TZ ina miaka 11, na mimi nimeitumia kwa miaka 5 sasa

Hongera sana mkuu kua na Rav 4
 
Hii yangu nimehaidiwa kupewa passo 5 kwa kubadilishana nimekataa nikamuongezea passo ya 6 akatimulie watu vumbi usukumani huko
 
k
kwenye escudo hapoo
 
Mtahangaika sana na sisi...na hivi ndio Christmass inakaribia hata sioni shida.Mwezi haupiti bila wachagga kujadiliwa hapa jamvini.
mti wenye matunda ndiyo huandamwa.so usiogope mkuu.mchaga ni og ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…