Wachaga na Escudo/Rav 4 Model za zamaniii..T 107 A..

Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.

Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni
KUNA RAIS MMOJA ALIWAITA SIJUI WAPU.......NINI SIJUI
 
Ngoja nimalizie kicheko kwanza halafu nikujibu...
 
Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.

Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni
Hivi magari mengine haya rangi zaidi ya yale yanayokwenda Upareni??
Growup
 
sasa wewe nenda na mark X yako au klugger yako then uone uisipoweka juu ya mawe.
 
Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.

Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni
Mkuu na pikipiki ni oneten roho za paka
Hata walioko town, lengo la hayo magari ni kuweza kupamba na na shughuli za hapa na pale kanisani n.k kwa muda wote wa Maisha na pia hata wachaga wa town watu wazima ndo magari hayo lengo ni liweze kwenda moshi hata wakati wa mvua bila kukwama
 
najivunia uchaga na ninajivunia kumiliki RAV 4 ya mwaka 1996, gari ngumu inayohimili mikiki mikiki ya mlimani, na hata mjini pia inaheshimika, spare bei rahisi na kwa matunzo mazuri hapa TZ ina miaka 11, na mimi nimeitumia kwa miaka 5 sasa
Dah...unajivunia uchaga?... Ulifanyaje hadi ukawa mchaga?...tupe maujanja mkuu😀😀😀😀😀
 
najivunia uchaga na ninajivunia kumiliki RAV 4 ya mwaka 1996, gari ngumu inayohimili mikiki mikiki ya mlimani, na hata mjini pia inaheshimika, spare bei rahisi na kwa matunzo mazuri hapa TZ ina miaka 11, na mimi nimeitumia kwa miaka 5 sasa
Hongera!
 
Back
Top Bottom