georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
KUNA RAIS MMOJA ALIWAITA SIJUI WAPU.......NINI SIJUIWachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.
Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni
we POPOMA wasukuma wameingiaje tenaMutuacheeee jamanii nyinyi wasukuma na mibaiskeli yenu
Nisamehe mkuu wangu nilipitiwawe POPOMA wasukuma wameingiaje tena
Nisamehe mkuu wangu nilipitiwawe POPOMA wasukuma wameingiaje tena
okay mier%Nisamehe mkuu wangu nilipitiwa
Pamoja sana mkuuokay mier%
Hivi magari mengine haya rangi zaidi ya yale yanayokwenda Upareni??Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.
Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni
Mkuu na pikipiki ni oneten roho za pakaWachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.
Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni
mswano!!Pamoja sana mkuu
Tena vataduishivyedhekana naasi
Dah...unajivunia uchaga?... Ulifanyaje hadi ukawa mchaga?...tupe maujanja mkuuπππππnajivunia uchaga na ninajivunia kumiliki RAV 4 ya mwaka 1996, gari ngumu inayohimili mikiki mikiki ya mlimani, na hata mjini pia inaheshimika, spare bei rahisi na kwa matunzo mazuri hapa TZ ina miaka 11, na mimi nimeitumia kwa miaka 5 sasa
Mwambie kbs aachane na ss mazoea hatuta kiiidhekana naasi
HahahahaNdio maana tumeamua kuyaandika "BABA YAKO ANALO" Ili kupunguza maneno kama haya. Halafu hapo umezungumzia wachaga walioko mjini, wa huku kijijini wana pick up na land rover zile za zamani kabisa. Karibu Mbege meku.
Kapsa loi!dhekana naasi
Hongera!najivunia uchaga na ninajivunia kumiliki RAV 4 ya mwaka 1996, gari ngumu inayohimili mikiki mikiki ya mlimani, na hata mjini pia inaheshimika, spare bei rahisi na kwa matunzo mazuri hapa TZ ina miaka 11, na mimi nimeitumia kwa miaka 5 sasa
Mbony tsapfo mbekanyi?Mtahangaika sana na sisi...na hivi ndio Christmass inakaribia hata sioni shida.Mwezi haupiti bila wachagga kujadiliwa hapa jamvini.