Wachaga na vimobitel

Wachaga na vimobitel

wachaga kweli bahili, japo hapa mnazungumzia utani ila ni kweli ndivyo walivyo.
 
Inabidi niige utaratibu huu wa kucheki salio. Nimeweka watu 10 kwenye tariff ya PAMOJA 10 ya zain. Nimekuja gundua jamaa mmoja ana-divert simu zake kwenda line ya mtandao mwingine. Inakula kwenye simu yangu, sio sh. moja kwa sekunde tena!

Wachaga bab-kubwa bwana; wahindi wanasema "hapana weka hela jicho yako hapana ona!" ikimaanisha "usiweke hela mahali ambapo jicho lako haliwezi ona"
 
Mkuu inawezekana kuna ukweli fulani, maana ata mimi kuna mtu nampigia na nimemuweka kwenye pamoja10 lakini cha ajabu pesa inakimbia kwelikweli si mcheso
 
Wachaga wameshabadilika sii tena wale wa zamani: sema tu usimdhulumu pesa yake!
 
Inabidi niige utaratibu huu wa kucheki salio. Nimeweka watu 10 kwenye tariff ya PAMOJA 10 ya zain. Nimekuja gundua jamaa mmoja ana-divert simu zake kwenda line ya mtandao mwingine. Inakula kwenye simu yangu, sio sh. moja kwa sekunde tena!

Wachaga bab-kubwa bwana; wahindi wanasema "hapana weka hela jicho yako hapana ona!" ikimaanisha "usiweke hela mahali ambapo jicho lako haliwezi ona"
Pamoja na kwamba hapa ni mahala pa utani - huo msemo nauzingatia kweli; sio kidogo! 🙂
 
Back
Top Bottom