Wachaga nisaidieni kwa hili...

Ngoja tusubiri mkuu wanakuja.
 
Kafunga na nani ndoa?? Kama si kanisan hata ya kimila/kulipa mahari?? Tuanzie hapo
 
Wachaga mtt wa nje" haesabiki popote hata kwenye mali za urithi,, so fafanua kwanza ,,
 

Makabila mengine tukiingilia hapa tunaweza kuharibu kama siyo kuchafua kabisa hali ya hewa hivyo ngoja tu tuwaacheni Wachagga kwa Wachagga ' mtifuane ' hapa na Sisi wengine tutakuwa tu kama Waangalizi wa UN na AU katika Chaguzi mbalimbali duniani.
 
Ukioa mwanamke umejimilikisha vitu vyote vilivyo vyake (mila adi dini) ila sasa afeminist hawapendi neno 'kumiliki' ila siyo kesi wa kwanza ni wa kwanza ndani ya tumbo la mama na siyo kutoka kwenye korodani la baba.

Ndio maana ata mapacha wakwanza huesabika ni yule aliyewahi onekana.
 
Inategemea baba ya hao wtt amekamatwa kicwa kiasi gani. Kwani mtt ni mtt, ila kwa hadhi ya wa kwanzana nk itabaki uamuzi wa baba. Kama unataka kujipendekeza kwa mkeo kuwa ww si mtu wa kuchepuka mm wa kwanza ataheshimika wa mkeo huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…