Wachaga nisaidieni kwa hili...

Wachaga nisaidieni kwa hili...

Baba kaoa mke ambaye ameezaa nae watoto wawili wa kiume.mtoto wa kwanza ni wa kiume lakini hajazaa na huyo aliyemuoa mtoto wa pili ni wa kiume kazaa na mwanamke mwingine.kwa maana rahisi yule aliyemuoa kazaa nae mtoto wa tatu na wa nne...sasa tuje kwenye swali ukiongelea desturi nani ni mtoto wa kwanza apo na je mtoto huyo wa kwanza anamaana gani hasa when it comes to family issues. Achana na hizi common fact sijui ndo uongoze wenzio and the like naomba kujua kitu ambacho unadhani sijui kuhusu wachaga na mtoto wa kwanza specifically.

Makabila mengine karibuni pia.

Submitted.
Ngoja tusubiri mkuu wanakuja.
 
Kafunga na nani ndoa?? Kama si kanisan hata ya kimila/kulipa mahari?? Tuanzie hapo
 
Wachaga mtt wa nje" haesabiki popote hata kwenye mali za urithi,, so fafanua kwanza ,,
 
Baba kaoa mke ambaye ameezaa nae watoto wawili wa kiume.mtoto wa kwanza ni wa kiume lakini hajazaa na huyo aliyemuoa mtoto wa pili ni wa kiume kazaa na mwanamke mwingine.kwa maana rahisi yule aliyemuoa kazaa nae mtoto wa tatu na wa nne...sasa tuje kwenye swali ukiongelea desturi nani ni mtoto wa kwanza apo na je mtoto huyo wa kwanza anamaana gani hasa when it comes to family issues. Achana na hizi common fact sijui ndo uongoze wenzio and the like naomba kujua kitu ambacho unadhani sijui kuhusu wachaga na mtoto wa kwanza specifically.

Makabila mengine karibuni pia.

Submitted.

Makabila mengine tukiingilia hapa tunaweza kuharibu kama siyo kuchafua kabisa hali ya hewa hivyo ngoja tu tuwaacheni Wachagga kwa Wachagga ' mtifuane ' hapa na Sisi wengine tutakuwa tu kama Waangalizi wa UN na AU katika Chaguzi mbalimbali duniani.
 
Ukioa mwanamke umejimilikisha vitu vyote vilivyo vyake (mila adi dini) ila sasa afeminist hawapendi neno 'kumiliki' ila siyo kesi wa kwanza ni wa kwanza ndani ya tumbo la mama na siyo kutoka kwenye korodani la baba.

Ndio maana ata mapacha wakwanza huesabika ni yule aliyewahi onekana.
 
Inategemea baba ya hao wtt amekamatwa kicwa kiasi gani. Kwani mtt ni mtt, ila kwa hadhi ya wa kwanzana nk itabaki uamuzi wa baba. Kama unataka kujipendekeza kwa mkeo kuwa ww si mtu wa kuchepuka mm wa kwanza ataheshimika wa mkeo huyo
 
Back
Top Bottom