KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 928
- 1,478
Hawa wamachame ndiyo wale wa kuua wanaume? Nasikia Kuna sehemu ukifika unakutana na wanawake wajane tu huko uchagani.Wachaga mnieleweshe kitu hapa aisee.
Inakuaje mnakua wachaga (kabila moja) halafu lugha tofauti kulingana na maeneo.??
Kuna jamaa yeye ni mchaga wa rombo na mwingine wa machame (kama sijakosea) nikashangaa kuskia eti hawawezi kuelewana coz lugha zao ni tofauti!!.
Au ni makabila mengi yaliungana ndo ukaundwa uchaga??
Na wachaga wanaooa/kuolewa na makabila mengine hao unawazungumziaje??Mchaga hajawahi kuwa na mashirikiano ya kweli na dhati na asiye mchaga, jipendekeze ila mwisho atakubagua na atakusaliti tu na utajuta.
Hata mchaga mlokole ni mlokole wa mwili tu lakini sio nafsi na roho never.
Labda wa kuoa 30% lakini wa kuolewa 1000% anabaki kwao na watoto mbegu yako atazaa labda mmoja, kimsingi hawezi kujiweka kama sehemu ya familia ya mume, nawajuq, nawafahamu, marry at ur own risk,Na wachaga wanaooa/kuolewa na makabila mengine hao unawazungumziaje??
Mfano mama mnyakyusa na baba mchaga watoto watakua pia wachaga, je watambagua mama yao.?
Huenda ulilosema ni kweli ila jaribu kuliweka vizuri, hata kama ni wabaguzi ila sio to that extent mkuu.
Jana nilikiwa naangalia kombe la dunia Kati ya England na Senegal, Senegal alipopoligwa la 3 mtangazaji alisema "Kuna muda unatakiwa ujifunze kutoka kwa waliofanikiwa badala ya kujenga chuki" akimaanisha kile kipigo Cha sisi weusi (Senegal) kiwe funzo kwetu badala ya kuwachukia wazungu kwa kuonyesha uwezo mkubwa.
Nikiwa mtanzania,nathubutu kusema wachaga ni moja ya kabila Bora Sana ambalo linapaswa kupigiwa mfano si bongo tu,Bali pia barani Afrika. Jamaa ni wapambanaji sana.Inadurahisha kuona jinsi wanavyonivunia kuwa wao,Ni Kama wamarekani wanavyonivunia kuwa wamarekani na kutembea kifua mbele duniani kote. Ukiwa negative huwezi kujifunza.
Mchaga hajawahi kuwa na mashirikiano ya kweli na dhati na asiye mchaga, jipendekeze ila mwisho atakubagua na atakusaliti tu na utajuta.
Hata mchaga mlokole ni mlokole wa mwili tu lakini sio nafsi na roho never.
Labda wa kuoa 30% lakini wa kuolewa 1000% anabaki kwao na watoto mbegu yako atazaa labda mmoja, kimsingi hawezi kujiweka kama sehemu ya familia ya mume, nawajuq, nawafahamu, marry at ur own risk,
Nipo hapa mkuu nishawasiliRombo tujuane mapema hapa
Mburaaa; Chaaa, ngichany' Mwaka jana mlikula hela yangu ivihivi. Wai' itsa na kulya πββοΈ πββοΈ π π π Hahahaaaa. Ntatuma mwakilishi broo, yaishe meeku.Wa Marangu kokirie tujuane,[emoji3][emoji3][emoji3]
Eeka meku nipo hapa baba angu,, massawe wa kibosho ila kwasasa nasaka noti China hapa.Wale wa Manushi, Maili Sita, Lyamungo na viunga vyote vya Umbwe, majina naandikisha mimi