Wachaga tukutane mjadala wa mwisho wa mwaka

Pata kinywaji popote ulipo kwa hela yako mkuu😊😊
 
Wa Marangu kokirie tujuane,[emoji3][emoji3][emoji3]

Tupo tumejaa tele na matayarisho ya Christmas na New years walahi!
Magari yako service!
We acha tu ni rahaaaaa tu walahi [emoji38]
 
Hapo rombo tu kuna vitongoji havielewani vizuri.
 
Nina ticketi za dili za treni mtu akikosa dirishani anicheck PM.
 

Ubarikiwe walahi [emoji2956]
 
Kama kawaida, kwenda moshi lazimaaa, tumevuna mwaka mzima sasa ni wakati wa kwenda kwetu kuweka mezani mavuno, ambae hajaleta mavuno inabidi tumpe semina na mbinu mpya za kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…