Wachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote
Biashara zao ziliuwawa kwa kauli na mamlaka za nguvu sana kwa visingizio lukuki kipindi cha utawala wa Magu.
Sasa hawana hamu kabisa wameona watulie kabisa , na wengine wameacha Biashara zao wamewekeza kwenye ufugaji na kilimo bila kutaka shari na serikalini.
Kama ni siasa wengi wamevua gamba , na wengine wamejitoa na kutolewa kabisa kwenye sehemu nyeti za sirikali
Leo hii kosa la Lema ambalo halina hata uthibitisho wowote linafanya kejeli kutupiwa kabila zima , sio x tu hata humu JF nyuzi kibao za makasiriko tu.
Iwe ni kweli au sio kweli , je ni lema tu aliye nunulika chadema ambae ilitosha kuhukumu kabila zima ?
Je kina
Zitto , na liijua likali , na wengine Kibao nao ni wachaga? , ikawaje wao wasitupiwe lawama kwa ukabila ikawa ni wachaga tu?
Mbona kama kuna harufu ya wachaga kutotakiwa kabisa ndani ya chadema hii na baadhi ya wanaharakati uchwara tena wanaoaminika ndani ya chadema?
Hii ni mbaya mno kwa mstakabali wa chama
Nguvu n Imani ileile watu waliyokuamini ikivunjika kishindk chake ni uzito sawaWachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote
Biashara zao ziliuwawa kwa kauli na mamlaka za nguvu sana kwa visingizio lukuki kipindi cha utawala wa Magu.
Sasa hawana hamu kabisa wameona watulie kabisa , na wengine wameacha Biashara zao wamewekeza kwenye ufugaji na kilimo bila kutaka shari na serikalini.
Kama ni siasa wengi wamevua gamba , na wengine wamejitoa na kutolewa kabisa kwenye sehemu nyeti za sirikali
Leo hii kosa la Lema ambalo halina hata uthibitisho wowote linafanya kejeli kutupiwa kabila zima , sio x tu hata humu JF nyuzi kibao za makasiriko tu.
Iwe ni kweli au sio kweli , je ni lema tu aliye nunulika chadema ambae ilitosha kuhukumu kabila zima ?
Je kina
Zitto , na liijua likali , na wengine Kibao nao ni wachaga? , ikawaje wao wasitupiwe lawama kwa ukabila ikawa ni wachaga tu?
Mbona kama kuna harufu ya wachaga kutotakiwa kabisa ndani ya chadema hii na baadhi ya wanaharakati uchwara tena wanaoaminika ndani ya chadema?
Watu wanajumuisha jamii nzima kutokana na trends za matukio, watu sio wajingaKabisa mambo madogo hayo yasipewe nafasi sana. Naukizingatia ni tetesi. Kujumuisha jamii nzima pia ni tatizo kubwa zaidi.
Mna phobia kali sana
Watu wanajumuisha jamii nzima kutokana na trends za matukio, watu sio wajinga
Ni kweli Wachaga Wana uthubutu Maana kuwa Mpinzani sio kazi Rahisi, nawakubali sanaIlisemekana chadema ni chama cha wachaga ,mpaka sasa hiyo phobia ukisoma michango ya watu kwenye sakata la lema ipo
Usaliti, kupenda Pesa, kuwauza wenzaoTrends zipi za matukio gani?
Can you Imagine baada ya Tundu Lissu kushinda uenyekiti kwenye uchaguzi huru, secretariete yoote ilihamia chauma? Can you list those members? Waliominiwa kwa miaka mingi, kumbuka G55Trend zipi ? Waliosaliti chadema kw vipande vya fedha ni wachaga tu?
Usaliti, kupenda Pesa, kuwauza wenzao
Tunawajua na wanahamika wataje wachaga na ambao sio wachagaCan you Imagine baada ya Tundu Lissu kushinda uenyekiti kwenye uchaguzi huru, secretariete yoote ilihamia chauma? Can you list those members? Waliominiwa kwa miaka mingi, kumbuka G55