Nipo na lissu nipo na chadema , hawa wanaharakati , mpaka sasa ni wavurugaji tu , mange analipwa kwa udaku na watu wamejaaKabisa mambo madogo hayo yasipewe nafasi sana. Naukizingatia ni tetesi. Kujumuisha jamii nzima pia ni tatizo kubwa zaidi.
Ngoja niwatetee shemeji zangu, mbona huwa hamna baya ila labda shida yenu huwa ni wakweli sana, hilo nalo linawaponza. Siasa zinataka unafiki mno!Wachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote
Biashara zao ziliuwawa kwa kauli na mamlaka za nguvu sana kwa visingizio lukuki kipindi cha utawala wa Magu.
Sasa hawana hamu kabisa wameona watulie kabisa , na wengine wameacha Biashara zao wamewekeza kwenye ufugaji na kilimo bila kutaka shari na serikalini.
Kama ni siasa wengi wamevua gamba , na wengine wamejitoa na kutolewa kabisa kwenye sehemu nyeti za sirikali
Leo hii kosa la Lema ambalo halina hata uthibitisho wowote linafanya kejeli kutupiwa kabila zima , sio x tu hata humu JF nyuzi kibao za makasiriko tu.
Iwe ni kweli au sio kweli , je ni lema tu aliye nunulika chadema ambae ilitosha kuhukumu kabila zima ?
Je kina
Zitto , na liijua likali , na wengine Kibao nao ni wachaga? , ikawaje wao wasitupiwe lawama kwa ukabila ikawa ni wachaga tu?
Mbona kama kuna harufu ya wachaga kutotakiwa kabisa ndani ya chadema hii na baadhi ya wanaharakati uchwara tena wanaoaminika ndani ya chadema?
Kweli kabisa, siasa za upinzani kwetu zimeanza kitambo mno , vyama vyote vikuu vilivyotoa changamoto kwa mbogamboga ukitoa CUF viliongozwa na wachaga kwanzia chadema , TLp, NCCR mageuzi.Ngoja niwatetee shemeji zangu, mbona huwa hamna baya ila labda shida yenu huwa ni wakweli sana, hilo nalo linawaponza. Siasa zinataka unafiki mno!
Nipo na lissu nipo na chadema , hawa wanaharakati , mpaka sasa ni wavurugaji tu , mange analipwa kwa udaku na watu wamejaa
Wanaharakati ni kama wana nguvu ya kuamua mwelekeo wa chama kwa maoni yao binafsi tu🤔Kabisa Lissu ni jembe sana, Heche nae yupo vizuri ila lazima wapime mambo wanaharakati ni wazuri tunawapenda ila wasiwe wavurugaji chama kikasambaratika zaidi.
Kweli kabisa, siasa za upinzani kwetu zimeanza kitambo mno , vyama vyote vikuu vilivyotoa changamoto kwa mbogamboga ukitoa CUF viliongozwa na wachaga kwanzia chadema , TLp, NCCR mageuzi.
Hili tunapinga kwa wivu mkubwa mno, wao wakiwa navaa vitenge vya mbogamboga sisi tulipinga , ukitoa viongozi wa sisiem kata ni wapi wachaga wamehongwa baiskeli za sisiem ? Hata hao viongozi wa mbogamboga uchagani waliochomekwa tu wamepewa pikipiki na sio baiskeli na vitengeNa walitumia nduvu na resources zao kwa muda mrefu alafu mtu atoke huko Kazura mimba, Itilima, Nanjilinji na kwingineko kuja kubeza jamii yetu.
Wanaharakati ni kama wana nguvu ya kuamua mwelekeo wa chama kwa maoni yao binafsi tu🤔
Hili tunapinga kwa wivu mkubwa mno, wao wakiwa navaa vitenge vya mbogamboga sisi tulipinga , ukitoa viongozi wa sisiem kata ni wapi wachaga wamehongwa baiskeli za sisiem ? Hata hao viongozi wa mbogamboga uchagani waliochomekwa tu wamepewa pikipiki na sio baiskeli na vitenge
Ccm ndicho walichokitaka, kuipasua chadema, kugombanisha watu kikanda na kikabila na wamefanikiwa.Wachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote