ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Nimeongea hili Kwa umuhimu, mfano Wakinga , waha na wachaga japo ni matajiri, wengi hawampendi Samia na serikali yake dhalimuSahivi tupo kwnye no reform no election hayo mengne hayana msng kwa sasa
Una hojaHivi huyu GSM mpaka anatoa 10B. Je utataniri wake ni sh. Ngapi kwasabu namba 10 hapo utajiri wake wote ni 37B wakati GSM anatoa 10.1B zawadi
Inawezekana kwa Wakinga utajiri wao siyo documented tuWachaga waendelea kukimbiza Wakinga, waongoza Tanganyika utajiri
Ukiona mfanyabiashara anajiosgeza karibu na watawala wa nchi, either anaiba rasilimali za nchi, anashirikiana nao kuiba rasilimali za wananchi au anakwepa kodi!Hivi huyu GSM mpaka anatoa 10B. Je utataniri wake ni sh. Ngapi kwasabu namba 10 hapo utajiri wake wote ni 37B wakati GSM anatoa 10.1B zawadi
Tatizo la watu kushindwa kujieleza kwa maandishi ni kubwa sana.Kwa uandishi huu nyie ndo mnawekeza sana kwenye elimu?Rudi tena shule (ashakum si matusi).shida moja wao wanatumia uchahawi wakinga sisi tun tunatumia elinu
Kuna mbwa mmoja alitaka kununua kiwanja cha mamayangu tukamkayaa alivyomjingq akaongeza mil 40 akamwambia mama wanao ntawapa kumi ya ziada
wakaja tukanywa fedha zaoo mbwa Wale wamekwenda kwa kaka akawambia labda mfe loh.
Nw all both side n rip
Sawa SawaUkiona mfanyabiashara anajiosgeza karibu na watawala wa nchi, either anaiba rasilimali za nchi, anashirikiana nao kuiba rasilimali za wananchi au anakwepa kodi!
utajiri wa kina gsm ni wizi wa ukwepaji kodiSawa Sawa
Pdidy umekunywa nini kwani kwamba ushindwe kuandikashida moja wao wanatumia uchahawi wakinga sisi tun tunatumia elinu
Kuna mbwa mmoja alitaka kununua kiwanja cha mamayangu tukamkayaa alivyomjingq akaongeza mil 40 akamwambia mama wanao ntawapa kumi ya ziada
wakaja tukanywa fedha zaoo mbwa Wale wamekwenda kwa kaka akawambia labda mfe loh.
Nw all both side n rip
Cc Stuxnet johnthebaptistKatika Ardhi ya Tanzania na Zanzibar mambo yanaendelea kama yalivyokuwa, Jamii ya watu wa kihindi na kiarabu wameendelea kukaa juu n kuongoza listi ya matajiri Tanzania.
Lakini kabila la wachaga linalokimbizana utajiri na Kabila la Wakinga, limeendelea kuwa juu, huku watu wawili wa kabila Hilo wakiingia kwenye top 10 ya matajiri zaidi Tanzania wenye asili ya Kiweusi asilia ya Tanganyika. Naweka Orodha hiyo ya matajiri zaidi Tanzania kumi bora Kwa udadavuzi zaidi. Huku Zanzibar nayo ikitoa watu wake Kaa BakhrersaView attachment 3446569
Kwa hans Macha ni uwongo ana zaidi ya hiyo hela. 37 Billion kwake kidogo hätä Davis Mosha ana zaidi ya hiyo.Katika Ardhi ya Tanzania na Zanzibar mambo yanaendelea kama yalivyokuwa, Jamii ya watu wa kihindi na kiarabu wameendelea kukaa juu n kuongoza listi ya matajiri Tanzania.