Itakua drama tuHivi huyu GSM mpaka anatoa 10B. Je utataniri wake ni sh. Ngapi kwasabu namba 10 hapo utajiri wake wote ni 37B wakati GSM anatoa 10.1B zawadi
Itakua drama tuHivi huyu GSM mpaka anatoa 10B. Je utataniri wake ni sh. Ngapi kwasabu namba 10 hapo utajiri wake wote ni 37B wakati GSM anatoa 10.1B zawadi
Huo utafiti umeufanyia wapi kwamba hapendwiNimeongea hili Kwa umuhimu, mfano Wakinga , waha na wachaga japo ni matajiri, wengi hawampendi Samia na serikali yake dhalimu
Kama huwezi kuandika vizuri nafuu usiandike kabisa. Hii uliyoandika umaelewa mwenyewe. Sijui ni ushirikina umekuharibu??shida moja wao wanatumia uchahawi wakinga sisi tun tunatumia elinu
Kuna mbwa mmoja alitaka kununua kiwanja cha mamayangu tukamkayaa alivyomjingq akaongeza mil 40 akamwambia mama wanao ntawapa kumi ya ziada
wakaja tukanywa fedha zaoo mbwa Wale wamekwenda kwa kaka akawambia labda mfe loh.
Nw all both side n rip
Hawana kitu Wakinga. Huwezi ukawa tajiri halafu unaishi kwa masharti, huo siyo utajiri, ni utumwa tu
ndo hao wasukuma wanaokuja kwa kasiWrite your reply...kule mbarali na chunya nilikua nafanya kaz bank moja hivi kuna wateja kibao wana pato la bilio 40 kwa mwaka